VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
- Thread starter
- #41
Ni zamu yao sasaMbona haya majina majina ya mulumbu, mulungu na mulugo yameshika hatamu humu jamvini? Tunaanza kuyachoka sasa
Ni zamu yao sasaMbona haya majina majina ya mulumbu, mulungu na mulugo yameshika hatamu humu jamvini? Tunaanza kuyachoka sasa
Hiyo ni typing error tu.Soma habari kamili ujue ukweli wa CCMangeomba jingine hilo hata kwenye kamusi hamna
Mbona walisema CHADEMA hakuna WAISLAMU? Ah NDIO MAANA anaomba ULINZI wa CCM? au ULAJI wa CCM? How NICE
:yo:UJUMBE HUU UMFIKIE,SHONZA,MTELA,SAUMU,NA WENGINE WANAO ISALITI CDM:yo:
We MAREHEMU kweli kwani ZITTO KABWE(NAIBU KATIBU MKUU) na SAID ARITH AMOUR(MAKAMU M/KITI BARA) ni WASABATO au WALOKOLE.halafu acha kufikiri kwa mapaja ww UDINI wa nini hapa?
Mbona walisema CHADEMA hakuna WAISLAMU? Ah NDIO MAANA anaomba ULINZI wa CCM? au ULAJI wa CCM? How NICE
Vuta nkuvute unachuja kila kukicha
CHADEMA imeshikwa pabaya mwaka huu. M4C imedoda haisikikii!
Hatimaye kada wa CCM aliyetimkia huko baada ya kuwa CHADEMA Makao Makuu,Saumu Malungu ameomba ulinzi CCM. Hii inafuatia kutajwa kwake na Mkurugenzi wa Sheria wa CHADEMA,Wakili Msomi Tundu Lissu kuwa ndiye anayeratibu mipango ya kupika ushahidi na kuandaa ushahidi dhidi ya Winfred Lwakatare.
Ni leo tu ambapo Saumu aliripotiwa na gazeti la Tanzania Daima kuwa alinaswa akiwasiliana na kiongozi mwandamizi wa CCM ambaye ni mratibu wa mpango wa Lwakatare kichama. Saumu anatumiwa kwakuwa alikuwa Idara ya Usalama ya CHADEMA na kwakuwa anajua kila linaloendelea CHADEMA Makao Makuu.
Mnamo majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni hii,Saumu alifika hapa Ofisi Ndogo za CCM Lumumba ili kuwasilisha ombi lake la kuomba ulinzi na haraka akakabidhiwa kwetu kama Kitengo cha Ulinzi cha CCM. Niko hataraini. Inadaiwa kuwa nimeshtukiwa. Kuna wenzangu wamenisaliti ndani ya CHADEMA. Wamevujisha siri za mipango yetu alisema Saumu akionekana kuwa na shaka kuu.
Nilindwe. Mwigulu Nchemba kwasasa hanipi msaada wa kutosha.Nilianzia UVCCM pale ambapo wamenielekeza nije hapa. Tafadhali nilindwe ilinimalizie kazi yangu aliongeza Saumu Mulungu.
Baadhi ya vigogo hapa Lumumba wameonesha hofu kuu katika kuharibiu taswira ya chama juu ya suala hili. Wameapa kuwatenga wote wanaohusika na mpango huu haramu,kama kweli upo. Kuna sintofahamu kubwa hapa Lumumba.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
sasa nyie machadema mnataka kwenda kumung'oa meno na kucha huyu dada bila ganzi?
mwisho wenu waja.
Watanzania yetu macho wito wangu kwa rais Kikwete hivi kweli umeacha chama alichoasisi Baba wa Taifa sorry mzee nyerere kikimalizwa na akina Mwigulu Nchema shauri utakabidhi nchi kwa CHADEMA.
Ukifahamu grounds za kitu kuwa feki huwezi kupata tabu kama unayoipata wewe.Chadema mbona hawaeleweki si wanasema ile video ni feki.
hakika wachangiaji hapajf mnatuboa wapenda mijadala ya kitaifa na sio kichama.
Inakuwaje kila thread mnashambulia ccm tu? Hivi jf imekuwa sio ya kijamii tena? Ni ya mpambano kati ya chadema na ccm members tena wale wasio waadilifu? Mn ht nmn y uchngiji wao unatia shaka kama kweli ni wanazuoni!
Too much hebu acheni kupoteza maana halisi ya jf. Kila thread kwa asilimia zaidi ya 90 inalenga kutukana ccm mbona hatuoni hivyo kwa opposit?
Kwanjia hii hata imani ya kwenda ukulu mnakokusemea inapotea mnawatumia watu wa vijiweni sana na ndio wanaowaharibia chadema wanadhani siasa ni matusi na kubezana katika kila jambo.
Too much imebidi nifunguke kulalamikia hali hii.:shut-mouth: