Recent content by Kitumba_

  1. Kitumba_

    SoC04 The master class in system leadership

    Kikubwa na cha muhimu zaidi kuzingatia, sio yale ya nyuma yalopita bali yajayo na Tanzania yetu hii. Hakuna la kuficha tunaishi kwenye wakati mgumu sana na mambo hayaendi kuwa mazuri huko mbele. Kuendekeza kusifia sifia na uchawa ili kujipatia utajiri, ulinzi wa mali na uhuru wa kifedha KAMWE...
  2. Kitumba_

    SoC01 Vitu 7 vya kufanya kabla hujamaliza chuo

    Unaweza vi-aaply kwa maisha ya kawaida kwa kuyabadilisha mazingira tu...
  3. Kitumba_

    SoC01 Subira

    Sifa njema zote za mstahiki Mwenyezi Mungu Sub'hana wa Ta'ala, Rehma na Amani zimshukie kiongozi wa Ummah, Mtume wetu Muhammad Swallallahu alaiyhi wasallam. Kwenye mafundisho (ya dini) tunaambiwa, kwa kila mwenye kutia nguvu na kujiwekeza katika kuwafanyia mema wamzungukae na atarajie malipo...
  4. Kitumba_

    SoC01 Fursa za uwepo wa vijana

    Tanzania ni moja ya mataifa ya kiafrika yenye idadi kubwa ya vijana. Inakadiriwa ya kwamba zaidi ya theluthi moja ya watanzania wote ni vijana, Yaani kwenye kila watu watatu mmoja ni kijana. Hii inaweza kuwa moja ya fursa kubwa kwa taifa au Bomu moja litakalolipua uchumi wetu, itategemea na...
  5. Kitumba_

    SoC01 Nimekuwa volkano

    Mlima ni moja kati ya sehemu zinazovutia kutazama, haswa kama unatazama kwa mara yako ya kwanza. Lakini kama ulishawahi kuuona mlima fulani au milima kadhaa, kwa namna ambayo inaitwa karibu kila siku, hata mlima unakua tu ni moja ya sehemu za mandhari. Yaani Mlima... ni mlima...ni mlima tu...
  6. Kitumba_

    SoC01 Mapinduzi ya Kilimo

    Asante kwa kugusia uti wa mgongo
  7. Kitumba_

    Shairi: Nimepata Kazi

    Nianzie kwa salamu, hali zenu kutambua, Maana ninayo hamu, histori simulia, Nimifikia hatamu, masomo kumalizia, Ninachoweza kusema, sasa nimepata kazi. Jina langu Bilalama, Kitumba ndio mzizi, Ninatokea Kigoma, ndani ndani kichiizi. Mtanzania salama, kilimo kwetu jahazi. Ninachoweza kusema...
  8. Kitumba_

    Alikiba anakutaka usiwe na wivu

    Wivu ni hisia zinazotokana na mapenzi na zinazalishwa haswa na uoga wa kwamba mtu anayempenda anapenda zaidi kwingine. . "We ndo my pain killer kushinda hata panadol umejaa mapenzi mashetani wanakaa kando, Oooh Shushu you for me, from Zero to Hero, bado tuko pamoja why you getting jealous?"-...
  9. Kitumba_

    SoC01 Vitu 7 vya kufanya kabla hujamaliza chuo

    Asante kwa nyongeza yako! Usisahau kunipigia kura pia
  10. Kitumba_

    Njia saba za kuanzisha mazungumzo na yeyote

    unaweza kuwa vizuri kwenye kuongea mtandaoni lakini kwenye face to face ikawa tatizo
  11. Kitumba_

    Njia saba za kuanzisha mazungumzo na yeyote

    Kama mwanaume inakubidi ulianzishe
Back
Top Bottom