Njia saba za kuanzisha mazungumzo na yeyote

Kitumba_

Member
Aug 21, 2018
29
20
Vipi unayefanya nae kazi hapo manongea vizuri??
Vipi kuna mtu unahitaji kuanzisha mazungumzo nae hujui unaanzaje?
Unahudumia watu lakini wanasema una kauli mbaya dhidi yao?
Kuna mtu unapata tabu kuanzisha mazoea nae? .

Kuishi na watu vizuri ni moja ya kinga tosha katika maendeleo ya mtu mmoja mmoja ama kwa hakika. Ama pengine tuseme kuwa na kauli nzuri baina ya watu anaokuzunguka. Iwe biashara au entity yeyote ile inakupasa kuwa na maelewano haswa na wale una owahudumia.

Kama kuna mtu amepata kunifahamu mimi, ni wazi kabisa neno UKARIMU linaweza tosha kunielezea jinsi nilivyo. Sitaki kukataa umuhimu wa nguvu ya kukaa kimya, watu tumitofautiana na inaweza kuwa inakupa wakati mgumu sana kutokuzungumza kitu haswa labda ukikutana/ukiwa na mazingira tafauti na uliyoyazoea.

Mfano mzuri miezi kadhaa iliyopita nilipata fursa ya kufanya intern kwenye moja ya Taasisi, siku ya kwanza naingia ofisini nilifika reception na kumkuta Mkurugenzi kakaa pale. Nilikua namtambua Mkurugenzi kwasababu picha yake na watangulizi wake ziliwekwa ukutani. Tulikaa pale zaidi ya nusu saa, Mimi nikimsubiri Secretary anipe mwongozo kwasababu ndio nilikua naripoti, hasa katika ofisi ile tukawa tuko wawili, Mkurugenzi kama anaangalia nyaraka muhimu mahala pale.

Tusiende nje ya mada, njia zifuatazo zitaweza kukufanya uweze kuanzisha mazungumzo na kila mtu hata kama humfahamu au humuoni.

๐๐ž๐ง๐จ ๐ฅ๐š ๐ค๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐š ๐ฅ๐ข๐ฐ๐ž ๐ฅ๐š ๐ฆ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ซ๐ข๐ค๐จ.Mfano heloww ukiwa na furaha au tabasamu. Umikaa na mrembo siti moja, umikaa na kijana fulani mtanashati siti moja kwa basi na utayaanzaje mazungumzo. Anza na neno linalokuja kama mafuriko hata asiposikia vizuri kutokana na uwoga pengine lakini ataelewa maana ya neno. Mambooo, hata asiposikia vzuri atajua tu umimsalimia. Nilipomkaribia yule BOSS binafsi nilitumia Shikamooo! Kwa kua alikua wa makamo fulani.

๐”๐ฌ๐ข๐š๐ง๐ณ๐ข๐ฌ๐ก๐ž ๐ฆ๐š๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ฆ๐ณ๐จ ๐ฒ๐š๐ฅ๐ž ๐ฆ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ฉ๐ข ๐ฆ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ฉ๐ข. Anzisha yale angalau yatamfanya aongee kidogo sana. Mfano unaweza muuliza swali linalomgusa yeye moja kwa moja. Una muda gani hapa?, unafikiria nini?.

๐“๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐š ๐ณ๐ข๐ฅ๐ž โ€˜๐๐š๐ฆ๐ข๐ฆ๐ข-๐ฉ๐ข๐šโ€™. Vinaweza kuwa ni vitu vile ambavyo ni vya kawaida sana, au kila mmoja wenu baina anaweza kuwa anavifahamu. Hii inaweza saidia sana kwa yule hapendi kuongea sana. Mfano, unaweza toa swali la maelezo, Naelekea Kimara vipi mwenzangu... Ni kitu cha kawaida lakini itajengeka kama nyota zimeendana baina.

๐Š๐ฎ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ค๐จ๐ฆ๐ž๐ง๐ญ๐ข ๐ณ๐š ๐ค๐ข๐ฉ๐ž๐ค๐ž๐ž ๐ฉ๐ž๐ค๐ž๐ž. Muda mwengine itafanya akukumbuke endapo kimya kidogo kikipita na akatamani uendelee. Mfano zile โ€˜napenda unavyo tabasamuโ€™, vizuri, โ€˜we jiniaziโ€™, beautiful, nimeipenda hiyo, awesome.

๐”๐ฅ๐ข๐ณ๐š ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ง๐š ๐ฎ๐ฌ๐ก๐š๐ฎ๐ซ๐ข ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š ๐ค๐ฐ๐š๐ค๐ž. Fanya iwe kirahisi zaidi. Ushauri ambao kwa vyovyote anaweza akatoa neno dhidi ya. Usiwe ushauri mgumu sana. Huyu mtu wa reception sijui atakua kaenda wapi, hizi simu zinapasuka sana vioo, unazionaje bidhaa zangu.

๐…๐š๐ง๐ฒ๐š ๐ฎ๐ฐ๐ž๐ฉ๐จ. Hakikisha macho yanagongana. Usiyakwepeshe macho yako kizembe, ni bora umtizame kwenye paji la uso tu kama utashindwa kuyaangalia macho.

๐Œ๐š๐ฃ๐ข๐ง๐š, ๐Œ๐š๐ก๐š๐ฅ๐ข, ๐–๐š๐ง๐ฒ๐š๐ฆ๐š, ๐•๐ข๐ญ๐ฎ. Kumbuka jina la mtu au hata mahali anapoishi. Vitu mtu fulani hupendelea sana. Wanyama na vinavyoshikika kama hivyo.

Mazungumzo ni kama tu unavyosoma kitabu fulani. Unaweza chagua mada yeyote kadri utakavyo. Kuruka karatasi au ukurasa mwengine wewe tu!. Siku ile nilikua naongea na Mkurugenzi ilituchukua takribani nusu saa nzima niko nae na bahasha yangu. Nilikabidhiwa mkataba chini ya maelekezo kutoka kwa Director. Nakumbuka komenti yake aliyoipenda kuitumia "napenda unavyojiamini kijana!" .
Hujachelewa.. Anzisha mazungumzo! Soma kitabu chako.
 
Mkuu umesahau kidogo kichwa Cha habari ilibidi kisomeke.

"NJIA SABA ZA KUANZISHA MAZUNGUMZO NA MWANAMKE YEYOTE UPATE TUNDA KIMASIKHARA"

AU "NJIA SABA ZA KUANZISHA MAZUNGUMZO NA CEO(FULANI) UTOBOE KIMAISHA""/
Hahaha
 
Nimesoma ila sijaona point za maana za kum saidia mtu.....

Unaweza uka ni question kwann sija andika uzi wangu?

Ofcource kuna kitu kinaitwa lobbing
Mm ni gwiji wa kufanya lobbing pale ninapo amua......

Uliandika nikahisi naweza chota maarifa mapya ila NOTHING NEW....
 
Kuna PDF nikipata access na PC nitashare humu kwa faida ya watu wengine.

Inahusu masuala haya ya kuanzisha conversation, namna ya kuongea confidently in front of the public, namna ya kuapproach interview, n.k.

Kinasaidia sana kama utafanikiwa kukisoma.
 
Nimesoma ila sijaona point za maana za kum saidia mtu.....

Unaweza uka ni question kwann sija andika uzi wangu?

Ofcource kuna kitu kinaitwa lobbing
Mm ni gwiji wa kufanya lobbing pale ninapo amua......

Uliandika nikahisi naweza chota maarifa mapya ila NOTHING NEW....

Sijaona sababu ya ku criticize huu uzi mkuu.

Inawezekana wewe una maarifa mengi, lakini na yeye kwa upande wake amejaribu kushare alichonacho.
 
Mkuu nisamehe binafsi nilifungua huu uzi nikiwa na matumaini makubwa ya kujifunza ila nimejikuta perception zangu zimekua juu then NOTHING NEW nimejifunza

Hope huu uzi utakua for beginners....

Nisamehee.
 
Asiyetaka mazungumzo alale mbele bhanaa tuendelee na mambo mengine, kwani yeye kawa almasi? mbususu zipo kibao.......
 
Nimesoma ila sijaona point za maana za kum saidia mtu.....

Unaweza uka ni question kwann sija andika uzi wangu?

Ofcource kuna kitu kinaitwa lobbing
Mm ni gwiji wa kufanya lobbing pale ninapo amua......

Uliandika nikahisi naweza chota maarifa mapya ila NOTHING NEW....
unaweza kuwa vizuri kwenye kuongea mtandaoni lakini kwenye face to face ikawa tatizo
 
Back
Top Bottom