Recent content by Kitukuu JR

  1. Kitukuu JR

    Unatoa mil 50 kuwapa Yanga/Simba wakati kuna watoto wanakaa chini kwa upungufu wa madawati.

    Usimlaumu huyo mama wakulaumiwa ni kundi kubwa la watanzania lililopo nchi hii ambalo Asilimia Zaid ya 80 ni wajinga na malofa wasiojua kufikiria vilivyo chanya na hasi ndo maana tutaendelea kuburuzwa na wanasiasa mpaka siku ya kiama
  2. Kitukuu JR

    Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

    Jamaa anajitahidi bhana tuletee na ya kwako basi tuone na kisha tulinganishe vingenevyo ww una tabia za kichoko tu
  3. Kitukuu JR

    Wabeba lawama tukutane hapa!

    Bora lawama mkuu kuliko kusaidia watu ambao hawana msaada na wewe maana ukijifanya mwema sana kwa kuwasaidia mwisho wa siku ni ngumu kumridhisha binadamu akaridhika na utaishi maisha yasiokuwa na furaha milele
  4. Kitukuu JR

    Makonda kupelekwa Arusha ni mtego

    Huyu jamaa kwenye siasa yupo vizuri sana ila tatizo lake anajaribu kujionesha ni mwamba mwenye misimamo mikali ya mwamba Magufuli, pasipo kusoma alama za nyakati ili angalau Aishi kinafki na team ya upigaji madili ya msoga gang kwa ushauri ningemshari ni heri akatae teuzi zao kama hawezi...
  5. Kitukuu JR

    Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

    Ushauri mzuri sana broo nashukuru
  6. Kitukuu JR

    Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

    Kiukweli ninahuruma sana mkuu mpaka najichukia So nisimwangalie usoni maana naona nitajilia kilio kikuu kama nitarudiana nae
  7. Kitukuu JR

    Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

    Inasaidia maana tunateseka sana na hii kitu mapenzi
  8. Kitukuu JR

    Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

    Kweli asee mkuu maana naona anatafuta pa kumtunzia mwanae naamka sasa[emoji122][emoji122]
  9. Kitukuu JR

    Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

    Anasumbua coz ananifata mpaka kazin na ninapoishi
  10. Kitukuu JR

    Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

    Shukrani kwa ushauri wako nazingatia
  11. Kitukuu JR

    Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

    Duh [emoji849] Asante kwa ushauri mkuu
  12. Kitukuu JR

    Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

    Ushari ndo kitu Cha muhimu zaidi
Back
Top Bottom