Akili zimechoka na mengi mpaka tunaanza kusahau zaid ya watu 20 kwny chumba cha maiti wanasahau kiti kimoja tena kilichowaweka pale aisee tunaitaji maombi special
Ila inawezekan lakini hii too much mi niliona mahari watu wameshaingia kwenye bus kwaajil ya kusafirisha wakasoma dua kwaajili ya safari wafike salama wanasema Amina wanaingia wanaambiwa mbona sanduku mmeliacha ndani * vitu hivi upati sehemu yoyote zaidi ya Tanzania
Lakini kiuhalisia mambo ya mzba asa kwny inshu ya mait kuna kuwa na watu muhin na inshu sensitive kdogo so swala la kusahau maiti iyo ni kali ya kufungulia mwaka mnaazaje kwa mfano
Imagine ndo wanatoka Dar-Bukoba alaf maiti wameisahau Dar
Akuna mwenye kumbukumbu mwili ulioshwa na kuwekwa wap? na jeneza lilikuwa wapi? Na uzito wa jeneza likiwa empty na likiwa na kitu mtaona uzito au mtikisiko sasa wanamsahau wapi ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.