Recent content by kitoshi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

    Yego da jina lako la ukwel hasa katka lugha ye2
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wale wa kanda ya ziwa samaki aina hii wanapatikana?

    yes wanapatkana tena sana katka maeneo ya kines,kibui,ruhu,majita,mwigobero,rukuba. then alaf huku weng sana musoma 2nafaid bwana pia kunayule satu dah ukienda ukwen wakakutengea unaweza ukala had ukasahau kushba kama vp mnaweza amia kwan huku m2 akikuzngua panga 2 case closed polis hatuend...
  3. K

    JamiiForums Tanzania mdogo wenu kaka yenu

    samahan nifundshen jinc ya kuweka picha coz nahangaika sana
  4. K

    JamiiForums Tanzania huu mradi wa bank ya dunia katika shule hii ni wa kihaina

    we vp suala kujua jambo haliitaj kuwa mtaalam au fund uelewa mtu huzaliwanao hvyo kupambanua jambo na kufkir siyo uwe na shule
  5. K

    JamiiForums Tanzania uchaguzi mdogo wa madiwani arusha musoma mjini tunajifunza nini?

    leo asubuhi nimesitushwa na taarifa ya uchaguz wa madiwan arusha kwanza kilichonivutia ni uchaguz huo kufanyka kwa amani pasi na damu kumwagika,pili jamaa wamewapga chin kinananii.swali je musoma mjini tutaendelea kuwa na msimamo wetu katka uchaguz ujao?je ile kata ya nyakato tutaikomboa kutoka...
  6. K

    JamiiForums Tanzania huu mradi wa bank ya dunia katika shule hii ni wa kihaina

    bank ya dunia imetoa milion 250 kujenga madarasa mawili,nyumba moja ya mwalimu,maabara,choo,lakini sasa madarasa yako poa ila nyumba ya mwalimu na maabara kituko kwanza maabara kadogo kama kadarasa ka wanafunz 40 haina viwango vya kuitwa maabara haina hewa.tunakuomba naibu elimu tamisemi njoo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

    dah! arusha nimewakubali bado musoma ile kata ya nyakato inatuangusha.
Back
Top Bottom