mdogo wenu kaka yenu

mdogo wenu kaka yenu

Usipate shida:

1. Hapo kwenye sehemu ya kuandika msg utaona chini kuna vifungo vitatu, Post Quicky Reply, Go Advanced na Cancel. Tumia Go Advanced.

2. Ukifungua Go Advanced utaona link ya Attachment Management bofya hapo, utaona dirisha la ku-apload picha, hapo uta-browse sehemu uliyoweka picha yako mf. flash, CD, kompyuta yako nk. Then UPLOAD picha yako na kui-Submit Reply.

3. Hapo utakuwa umemaliza kazi. Karibu.
 
najaribu
 
Attachments

  • 427209_483630351695319_1006395762_n.jpg
    427209_483630351695319_1006395762_n.jpg
    36.5 KB · Views: 355
au nenda hadi kidirsha cha insert image hapa mstari wa juu ambao unaanza na herufi B/U
Usipate shida:

1. Hapo kwenye sehemu ya kuandika msg utaona chini kuna vifungo vitatu, Post Quicky Reply, Go Advanced na Cancel. Tumia Go Advanced.

2. Ukifungua Go Advanced utaona link ya Attachment Management bofya hapo, utaona dirisha la ku-apload picha, hapo uta-browse sehemu uliyoweka picha yako mf. flash, CD, kompyuta yako nk. Then UPLOAD picha yako na kui-Submit Reply.

3. Hapo utakuwa umemaliza kazi. Karibu.
 
Asante kwa muuliza swali,kwani umetusaidia wengi ambao tulikua hatujui,kweli kuuliza si ujinga
 
Back
Top Bottom