Wanawake wengi unajisikia vibaya kwa hiyo mmoja,kwani ni mama yako,acha uzembe piga chini oa nyingine omba uhamisho zalisha watoto wengine,mwisho tafuta sana Hela maana kazi ya ualimu unayoifanya ndiyo inakusababisha kuwa mnyonge mpaka mkeo anakudharau anaona mjeda ni nafuu kuliko wewe
Halafu malori tuyapeleke wapi ,mtu mmoja ananunua howo mia mbili kwa wakati mmoja nyie mnalalamikia foleni,pambaneni tu na maisha yenu,acheni wakubwa wafaidi nchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.