Recent content by kitoromondo

  1. kitoromondo

    MLIPUKO WA BARUTI KWENYE MAKAZI

    BARUTI HOLELA KWENYE MAKAZI, ndugu wana jukwaa, naomba kutumia jukwaa hili teule kwa anaye husika atusaidie mimi na wakazi wenzangu wa KIGALA kata ya BUSWELU wilayani ILEMELA, kumekua ulipuaji wa baruti hapa mtaani majira ya saa 10:00am hadi saa 3:00pm ,hii ni kwa muda wa miaka zaidi ya mitatu...
  2. kitoromondo

    Nenda nje kama mbabe

    Wale walikua Wanaume Suruali, ndio maana kimya hadi leo utaanzaje kuwaambia wandugu wale Wanaume nilowatambulisha Sio Riziki
  3. kitoromondo

    Mdudu ndani ya kichwa cha mbuzi kazi yake ni nini?

    Madaktari wa mifugo nadhani wameingia field kufanya research ya jambo hili, walisahau kwani hawakushughulika na Kichwa, wao waliangalia zaidi Maini, Figo, Utumbo, Moyo,Mapafu nk Kichwa waliwaachia Wauza SUPU za vichwa, tupeni majibu ni kodi zetu ziliwasomesha,
  4. kitoromondo

    Mdudu ndani ya kichwa cha mbuzi kazi yake ni nini?

    Jf imejaa watu wenye taaluma,fani,ujuzi na uwezo tofauti tofauti, ikiwa tutapata jibu la kuwepo au kutokuwepo kwa mdudu huyu ndani ya kichwa, jibu la kisayansi, ikithibitika basi huyu atakua anastahili PhD kutoka chuo hiki Jf of GT
  5. kitoromondo

    Mdudu ndani ya kichwa cha mbuzi kazi yake ni nini?

    Mkuu mdudu yupo,watu kadhaa hapa wameshudia kumuona kwa macho yao, ikiwa hukuwahi kuwaona basi hujaachwa anza leo kufuatilia jambo hili, ili tujifunze pamoja, na ikiwa utagundua umeona usiache kukiri pia hapa kumuona kwako, ikiwa ni maambukizi tuyajue chanzo, na madhara yake awapo kichwani,ikiwa...
  6. kitoromondo

    Mdudu ndani ya kichwa cha mbuzi kazi yake ni nini?

    Tunao humu wataalamu,wenye ubobezi juu ya viongo vya binadamu,njooni hapa mtupe majibu ya kisayansi, ikiwa nanyi hili ni swali jipya, basi fanyieni research na mje hapa na majibu sahihi jamii ipate uelewa wa hili na kuondoa dhana iliyopo vijiweni kwa majibu yasio ya kisayansi
  7. kitoromondo

    Mdudu ndani ya kichwa cha mbuzi kazi yake ni nini?

    Mkuu kiumbe huyu mbuzi hupatikana maeneo mengi kwa muda wako kabla hujasema hakuna kitu km hicho ni busara ukajiridhisha kwa wenye butcher za mbuzi au kunakouzwa supu ya kichwa cha mbuzi
  8. kitoromondo

    Mdudu ndani ya kichwa cha mbuzi kazi yake ni nini?

    Babu zangu niwatake radhi kwa kuharibu supu ya kichwa
  9. kitoromondo

    Mdudu ndani ya kichwa cha mbuzi kazi yake ni nini?

    Mkuu,nina uhakika kumuona mdudu ndani ya kichwa cha mbuzi niliemchinja mimi siku ya pasaka, tukiwa tunakiaandaa kichwa kiwe chakula cha mbwa ndipo tulipomtoa mdudu ndani ya kichwa,ni sehemu jirani na ubongo, ngoja waje wanataaluma watujuze, ikiwa labda sio kwa kila mbuzi
  10. kitoromondo

    Mdudu ndani ya kichwa cha mbuzi kazi yake ni nini?

    Wana JF, Naomba kujua kwa wenye ufahamu, Kuna mdudu hupatikana ndani ya kichwa cha mbuzi, mdudu huyu ni kama jongoo mdogo, nini kazi yake ndani ya kichwa cha mbuzi, huingiaje pale, na itakuaje endapo atakufa kabla ya mbuzi, nini kitampata mbuzi, naamini humu kuna Wanaofahamu hili kwa undani...
  11. kitoromondo

    Bandarini: TRA kupiga mnada makontena 20 ya Paul Makonda kwa kushindwa kulipa kodi

    Ni furniture za shule kwa shule za jijini Dar, zilizotolewa na wafadhili na marafiki toka mataifa ya ulaya
  12. kitoromondo

    Fahamu virefu vya baadhi ya maneno yaliyofupishwa

    Sawa Mkuu Ingia Geto
  13. kitoromondo

    CCM na Viwanda: Safari isiyo na Kituo (No Destination) - Hakuna Mwendelezo, Ni ‘Management by Hit’

    Rais wetu ni msikivu, hili wazo kaliona,atalifanyiakazi upesi, hata waziri mwenye dhamana ya kuwa na mpango kama huu, bado amelala usingizi wa pono, mh Rais ukilichukua hili na kulitimiza, bado sifa itabaki kuwa yako, na heshima hata kwa chama unachokiongoza,sio kweli watu kama hawa wanaweza...
Back
Top Bottom