Recent content by kitogele MO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta majibu ya swali hili toka kwangu

    mkuu ok shida MIKONO TU na kunawa nazingatia sana but hii imeanza ni siku ya tatu sasa ina washa tu Viganja vyote na vidole pamoja na katikati ya vidole ngozi ya juu ya mkono haiwashi kabisa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta majibu ya swali hili toka kwangu

    Msaada waungwana leo ni siku ya tatu nawashwa mikono yangu(kulia na kushoto) Kwenye viganja vyote na vidole vyote na nafasi iliyopo katikati ya vidole Hii ni maana gani? Au dalili ya nini kama kiafya?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Pesa TBL wanaipatia Serikali ni kubwa kuliko ya Utalii, tuhamasishe pombe

    Sisi ndio tunaconvert wao wanakuja na fedha za kigeni
  4. K

    JamiiForums Tanzania Pesa TBL wanaipatia Serikali ni kubwa kuliko ya Utalii, tuhamasishe pombe

    Fedha za kigeni utazipata wapi? Mana zinatumika katika manunuzi nje ya nchi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sisi hatukupaswa kutoa msaada wa fedha Uturuki, tulitakiwa kutuma kikosi cha uokoaji

    Unakitu mkuu utafika mbali
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mliokasirishwa kuhusu Rais Samia kutoa msaada Uturuki hii sio awamu ya Magufuli

    Kwakifupi ni taila?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Nchini yatoa wito wa Serikali kutoingilia Mahakama

    Wateule wa mahakama ngazi za juu hupangwa na nani tuanzie hapo?
  8. K

    JamiiForums Tanzania THRDC: Ujio wa Kamala Harris ni matokeo ya kuimarika kwa Haki za Kibinadamu na Utawala Bora

    Haki za binadamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutafute hela tu haki zitatufwata
  9. K

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    Halima yahya(divana)- muigizaji
  10. K

    JamiiForums Tanzania Huu ni ulimbukeni wa kupindukia

    Mkuu mbna majira haya umeleta uzi huu, je kunakitu unazungumzia unakificha? Nyoosha maelekezo EASY, don't hit around the bush
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateuliwa kuwa mgombea wa Uenyekiti wa CCM

    Kongole kwake, ataupiga mwingi 2027
  12. K

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

    tumechoka sana ni vile hatuna nchi nyingine ya kwenda
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tumuelewe nani sasa Kati ya hawa wawili kuhusu mabehewa ya treni

    Vita vya wenyewe kwa wenyewe, vp tuongeze mapanga?
  14. K

    JamiiForums Tanzania CCM wanaleta siasa za kijima. Wanapanga wenyewe sherehe baadaye anatokea kiongozi wao anaghairisha ili wapate sifa

    Mkuu unaona kwenye harasa ya maandalizi je huoni pesa zingine zimepelekwa kwa jamii zetu?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wapenda shughuli msichanganye Sherehe na Kumbukumbu Rasmi ya Uhuru

    Sikio la kufa?
Back
Top Bottom