Recent content by kitofio

  1. kitofio

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tunatambulishwa kwa kipi? Nchi yangu inapoteza utambulisho

    mitahara ya elimu sio mitaala ya elimu kweli tumekosa hata identity hata ya lugha yetu
  2. kitofio

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakubali kuwa wamekuwa wakikosea sana

    Vihele vihele ndio nini ?
  3. kitofio

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata Rais mnyenyekevu, Mpole, Msikivu, Mtulivu na mwenye hofu ya Mungu

    Hivi Tanzania ilipata uhuru mwaka gani ?
  4. kitofio

    JamiiForums Tanzania Wakati saruji Kenya ikiuzwa Tsh 12,000/=, Tanzania inauzwa Tsh 24,000/=

    Mtoa mada amesema tsh 12,000 kwa mfuko sasa hii kubadili pesa inakujaje
  5. kitofio

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja ya CCM kujaza watu kwa kutumia wasanii

    Mhhhh
  6. kitofio

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba kupitia ACT-Wazalendo ajieungua

    Amejiengua kugombea sio amejiengua kutokugombea
  7. kitofio

    JamiiForums Tanzania Buriani: Watanzania Wengi Hawakumjua Rais Mkapa. Nami Nishuhudie

    hapana mkuu mwaka 2000 june ilikuwa 1$=800tsh
  8. kitofio

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ikimbie hasira ya Mungu

    Leo nipo nyumbani nilipowaambia watoto zangu wawili ambao umri wao tayari kujiandikisha ,waende kwa jambo ,walinishangaa wakaniambia baba wewe siumebaki miaka michache usitaafu
  9. kitofio

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji na urasimu wa kupata hati ya kusafiria

    Mimi nilipata passport mpya baada ya siku 40,tena baada ya kufatilia kwa sana, pale mjini wakati maombi nilipeleka ,uhamiaji kurasini,chaajibu nikaambiwa samahani mzee katafute cheti chengine hiki tarehe ya kuzaliwa hainokeni ,nikawajibu haiwezekani mbona sehemu zote natumia hiki sijawahi...
  10. kitofio

    JamiiForums Tanzania Kigoma yaanza kufunguka

    Hivi nani alaumiwe na nani tumpongeze kwa hili la kigoma?
  11. kitofio

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa Mawakili wa Erick Kabendera aeleza kinachoendelea

    Sijaelewa vyema alikamatwa,29-july ,kosa la uchochezi ni 31-july kwa hiyo alikamatwa kabla ya kutenda kosa
  12. kitofio

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kuepusha Machafuko/Vurugu wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, Nini Kifanyike?

    Nikweli hakuna kitisho kwa vile mmetushika ndipo, ya Mh Jecha wala si kitisho
  13. kitofio

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa IMF, wazungumzia ripoti ya IMF iliyovuja

    Kwa vile tumewashauri waweke 12%hana pakuuweka I
  14. kitofio

    JamiiForums Tanzania Je, Zanzibar inaweza kupinduliwa tena 2020 kama ilivyokuwa 1964?

    Sehemu, kijiji katika Tz, mtaa katika Tz, kata katika Tz, Tarafa katika Tz, wilaya katika Tz, mkoa katika Tz au vereje kwa lahaja ya kwetu?
  15. kitofio

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Kuna Wakuu wa mikoa wanne wameanza kampeni ya ubunge

    Hapana isipokuwa watafuta ubunge kwa tiketi ya ccm, ndio maana akakimbilia huko
Back
Top Bottom