Recent content by Kitinyo1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ni kweli mkuu kama mtu akiyafuatilia vizuri haya mazoezi yanasaidia sana kuongeza nguvu za uume kusimama vizuri
  2. K

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ingia google uulizie PC musle exercises utayakuta mengi tu hata michoro mkuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Mi nadhani kinachokusumbua zaidi ni swala la kisaikolojia zaidi kwa mfano kuna jamaa yangu alikua ananiambia yani mpaka akisikia harufu ya sabuni tu anadindisha. Hiyo kisaikolojia ni shida ya association inawezekana kwa kua umezoea puli kwa muda mrefu inakua ngumu kwa mwanamke kuamsha hisia zako...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Hili swali naona limeulizwa sana hapa naomba kutoa maelezo kidogo kama ninavyoelewa. Kegel ni zoezi ambalo hufanyika kwa wanaume na wanawake ambapo kwa wanaume linahusisha kukaza misuli ya uume inaitwa (PC muscles ) kwa lugha ya wenzetu. Msuli huu upo mwanzo kabisa ya uume kwa chini(katikati ya...
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume wenye vifua

    kwani na wale wenye chura huwa wanaliwa:p:p:)
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume wenye vifua

    Hata wako anaweza kua nacho tu mwambie aingie gym atakipata(mtaka cha uvunguni sharti ainame)
  7. K

    JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri ya A-level kwa Dar, Arusha au Moshi?

    yupo kombi gani
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu alituumba tufanye mapenzi kwa kusudi la kuzaliana au kufurahishana?

    Mi naona mapenz ni kwa ajili ya vyote kuzaliana na kufurahishana ndio maana mtume paulo alisema msinyimane. 1Wakorintho7:5
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maeneo nyeti katika mwili yenye kuamsha ashki (erogenous spots)

    Japo usikariri wanawake wanatofautiana
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wadada wengi warembo hawapendi kudate na wanaume ambao ni walimu?

    Hahaa ni shida
Back
Top Bottom