Recent content by kitiji

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa JamiiForums mnalialia sana na mapenzi, nini tatizo?

    hahaha ushenzi upi tena huo?
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa JamiiForums mnalialia sana na mapenzi, nini tatizo?

    nakubaliana na wewe... wazisake sana izo pesa sio kutuoa nyuzi zakidada dada
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa JamiiForums mnalialia sana na mapenzi, nini tatizo?

    umesema kweli na nakubaliana na wewe
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa JamiiForums mnalialia sana na mapenzi, nini tatizo?

    uyooo! kanasa
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa JamiiForums mnalialia sana na mapenzi, nini tatizo?

    Habari wanajukwaa Kwenye kikao cha baharia kilichofanyika hapo nyuma kidogo kimeona kuna shida kwa wanaume wa sasa wa JF Jukwaa la MMU, kuwa wanalalamika sana kwenye suala la mapenzi na kuchakata nyapu za wadada uko mtaani na hata humu JF. Imeonekana wanaume wa sasa wa JF kwenye jukwaa pendwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli macho ya marehemu hubaki na taswira ya vitu alivyoona muda mfupi kabla ya kukumbwa na mauti?

    nikweli macho yanaifadhi taswira ya mtuu vizuri naona wadau wengi wanapinga wanataka kuweka hiikitu kweny mambo imani imani, hii njia yakumuona muuaji kwenye macho ya mtu alie kufa imekaa ki sayansi zaidi, macho yetu ni kama kioo yana reflect image, ata hapo ulipo unavyokodoa kweny screen...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mtu huzaliwa na akili au anazipatia duniani ?

    Tukisema akili kama akili, kila mtu anazaliwa nazo utofauti wetu upo kwenye kiwango cha akili kati ya mtu moja na mwingine Kuna wale wamezaliwa na kiwango kikubwa cha akili ata makuzi yake hakuitaji changamoto nyingi sana kuboost akili zao, yani wao wakifanya kitu tu imoo, kama yupo shule...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Katika hili, namwamini Shetani

    Mungu hakuongopa kusuhu kufa, kabla ya adam kula mti wa kati Mungu aliwaambia hawatakufa wataishi milele hii ina maana kama adam angemtii Mungu basi mpaka saivi tungekuwa nae. kwaiyo Mungu hakuongea uongo aliwaambia mkila mtakufa na kweli adamu alikufa na eva nae alikufa na wewe mkuu utakufa...
  9. K

  10. K

    JamiiForums Tanzania Ama kweli Chura ndio Shetani Lenyewe

    Chura huyu anafanyiwa practical kunako sita kwa sita mkuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Mleta mada haujatoa majibu yoyote zaidi ya kupiga story za mfalme nani sijui huyo! Mudy alizingua tu kwenye maandiko kadhaa lakini kwa mtu wa dini inakuwa vigumu sana kukubaliana na ukweli.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Hahah! Kiranga usitupoteze kwenye uzi wetu wa bible kuhusu uwepo wa Mungu subiri wadau wajipange tena tena watakufungulia nyuzi kukubanani juu ya uwepo wa Mungu Kwasasa acha tuijadili hii biblia tu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Mkuu haya unayotaka kuleta ni amhubiri juu yaquran yako tukufu! Unatoka nje ya mada ingawa hata iyo quran yako ina mapungufu mengi tu amabayo wewe ujayajua lakini atupo hapa kuelezea kipi kitabu sahihi na kipi sio Rudi kwenye reli mkuu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Unajua tatizo likuja kwa hawa watu wafia dini na imani zao hawataki kuhoji chochote kwenye hivi vitabu vya dini, wanaamini ukianza kuhoji jambo kutoka kwenye bible au quran basi utakua sio muamini au unadhiaki, Jamani wakistro na waislamu tujiwekee tabia ya kuuliza au ku reason kitu kama...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Upo mkoa gani?

    nipo dar es salaam, mzee jiji la lawama
Back
Top Bottom