Hii kauli ni ushahidi kua aliziona hizo picha na zilimtisha sana, so anajaribu kujifariji, ni sawa uambiwe na docto unaumwa ugonjwa fulani halafu we unakimbilia kwa mganga wa kienyeji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.