Recent content by Kiti

  1. K

    JamiiForums Tanzania Gaidi Hana Rafiki, Dunia Iungane

    Wapalestina wanaendelea kunyang'anywa ardhi yao na walowezi wa kiyahudi. Wayahudi wanajenga makazi kwenye maeneo waliyoyatwaa toka kwa wapalestina kinyume na maazimio ya umoja wa mataifa. Wanavyoteswa wapalestina ni sawa na afrika kusini walivyokuwa chini ya makaburu. Africa kusini imeliona hilo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi JWTZ liendelee kuimarishwa

    Jeshi lisitumike kisiasa na wanasiasa. Wamekuwa jeshiCCM.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi JWTZ liendelee kuimarishwa

    Jeshi gani hili ambalo askari wanabeba maboksi ya kura za wizi kama tulivyoona 2020. Takataka tupu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mchengerwa Wizara 3 chini ya mwaka mmoja, ni bahati au mkosi?

    Kapelekwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni mkakati huo wa mama mkwe
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ukame waua Tembo 205 ndani ya miezi 10

    Selous hali ni mbaya. Wanyama wanakufa kwa ukame lakini kimya. Kama tulikata zaidi ya miti milioni mbili wanyama wale nini?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi

    Hivi aliyepo ana sifa? Tumepigwa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nashangaa waliofurahi Dkt. Dorothy Gwajima kuondolewa Wizara ya Afya

    Dorothy Gwajima takataka. Yaani anajifukiza on camera kutibu COVID19. Ameinajisi taaluma ya udaktari. Hafai kuwa ofisini hata dakika tano.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Niliyoyabaini katika Operesheni ya Polisi dhidi ya watuhumiwa wa Panya Road - Dar es salaam

    Jamani jamani. Nakubaliana na Abdul Nondo asilimia Mia. Sheria za nchi zifuatwe. Na hayo ndio Abdul anasisitiza. Polisi wamevunja sheria. Iko wazi. Wawajibishwe. Hata kama ni kweli kuwa hao ni panya road. Polisi wametoa wapi kibali cha kuwaua? Naililia Tanzania. Tinakoenda siko.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chadema yashuku mauaji majambazi Serengeti

    Nimesikitishwa sana. Wanakijiji wako tayari kutoa ushahidi. Polisi walipokea rushwa ya kuanzia milioni moja hadi 2.5. Kwa miamala ya simu. Kuna shida gani ya kuunda tume huru kuchunguza? Jamani nchi inakwenda wapi hii?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dkt. Kalemani kupewa mifugo huku Ndaki akipigwa chini

    Recycling the garbage
  11. K

    JamiiForums Tanzania Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

    Kujipendekeza kuzidi maelezo. Du hii imezidi. Labda utapewa UDC au ubunge utulie.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni Makosa makubwa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais

    Huyo ni raia wa Burundi. Hana sifa. Mwulize ndugu zake wa ukoo walipo.
  13. K

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro

    Lazima amshukuru. Mwaka 2020 jeshi lilihusika kikamilifu kwenye wizi wa kura. CCM oyee.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwaheri CDF Jenerali Mabeyo

    Video za wanajeshi kupiga raia zipo na haziongopi. Mabeyo hasafishiki
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwaheri CDF Jenerali Mabeyo

    Wanajeshi walipiga sana raia na kushiriki kuharamisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2020. That is the fact na CDF alishiriki uchafuzi huu. Dhambi anayo. Hasafishiki kwa hili.
Back
Top Bottom