Recent content by KITEKSORO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

    Nahisi ni chai hii. Mbona Nissan Juke inatajwa sana? Halafu mimi hako kagari nakaonaga kama kamdoli fulani hivi kachurachura.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Mkuu hoja yako ni ipi? Mbona jamaa kwenye hiyo clip ameshaonyesha kuwa walifika hadi ofisini na wakaverify brela kuwa kampuni ni halali ndo wakaanza kulipia. Huyu anayejiita billionea hana pa kutokea zaidi ya kulipa hiyo 100m iliyobaki. Kwanza alishakiri mwenyewe kuwa alilipwa hizo pesa .Alipe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara bilionea Dar es Salaam, adai kutishiwa maisha, akimbia kwa pikipiki kutoroka asiuawe hadi Arusha

    Hii hela iliyotajwa mbona haifananii hela ya kuagiza malori? Naona ni hela ndogo .Malori tena siyo Lori kwa 129,000,000 ? Au ni advance payment? All in all tumpe pole mwenzetu kwa kadhia hii
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Mkuu mambo vipi? Anaendeleaje yule mke wako mgonjwa?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

    Nikajua umeandika kisayansi kumbe umeandika kwa mamitazamo na mahisia ya kilokole tu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania ni masikini? Nimeokota stakabadhi za ATM, hawana kitu kabisa

    Sampling kwenye Geography??
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Mwalimu Kabahoza wa Minaki High School
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuondoa utelezi maji ya mvua

    Mkuu hayo maji anayosema jamaa ni kwamba yameharibika , yana wadudu. Mwambie ukweli usijikite tu kwenye maji kuwa sijui kuwa magumu au laini. Maji ya mvua bila kuwa treated yanaharibika haraka sana mkuu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inakosea sana kuwatenganisha Kikazi Wanandoa

    Hii thread nahisi ina chai ndani yake. Yaani mke aje Dodoma, ajisikie vibaya moja kwa moja mkapime ukimwi? Hamjaanza na kupima malaria, UTI, Typhoid nk, unataka kutuambia mtu akiwa na ukimwi anajiskia vibaya? Then eti baada ya kupima mke tu ndo positive! Wewe uko poa. Je kuwa Dodoma huendi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je unajua Kwanini watu hutukana?

    Watu wameanza kutukana hahahaaa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu cheque namba

    Umemdanganya mkuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuta kibubu kina 30,000/- tu baada ya kuweka pesa karibu miezi 5, nifanyeje?

    Nadhani kwanza tujiulize hela yake imepoteaje? Sidhani kama ni chuma ulete. Mimi nahisi alimpa mtu siri hasa likijana fulani jobless limpenzi lake, lilipofika likamvizia kaenda bafuni au dukani likafungua kibubu chake. Kama ni kibubu vha mbao kufungua ni dakika sifuri tu. Sasa bi dada hebu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania RC Mbeya asitisha Posho kwa Watumishi wote wa Halmashauri

    Huu ni uonevu kwa Watumishi maana fedha za ujenzi wa madarasa kwa vyovyote vile zilitengwa kwenye bajeti na hazina uhusiano na posho za watumishi. Nadhani Mh. Mkuu wa Mkoa atafakari upya agizo lake. Mambo kama haya hushusha sana morali ya kazi kwa watumishi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wadada wa saluni za kiume hawana kinyaa kabisa

    Umeuliza swali zuri. Hapo aliposema "wakaka" kazingua. Wanaume hatuiti wanaume wengine wakaka.
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

    Sasa mkuu mbona unatoa siri zetu tena? Wakijua hizi mbinu itabidi tutunge tena nyingine mpya mkuu umezingua !
Back
Top Bottom