Recent content by Kitchener

  1. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed Said acha kupindisha historia, ni Nyerere aliyetuletea uhuru, sio wengine

    kitu pekee huyu mzee atakuambia ni udini uliokubuhu, ni moja ya wazee wanaozeeka na watakufa na ujinga wao. alishawahi kuwaita wakristo makafiri, na alisapoti sana fujo zilizopelekea mauaji ya mwembechai. ni wa kumpuuza. kichwa hakina ubongo icho.
  2. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Polepole lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati Serikali ya awamu ya Sita ilifanya

    kutekwa polepole, mauaji october 29 na kupigwa risasi tundu lisu, aliyeshauri hayo yafanyike aliwapoteza sana na hastahili hata kushauri balozi wa nyumba kumi. ni msalaba watakaoubeba vizazi vyote na watoto wao. It was so unnecessary.
  3. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anajua ni nini kinaendelea hapa?

    kiukweli haya majamaa malugaluga sana.
  4. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Muungano ukitengana kuna maeneo kabla mjakabiliana na ziwa Malawi mnaanza history ya mwisho wenu ubungo na hakuna mnacho mpaka bahari

    wewe ni mjinga sana na inawezekana haujaenda shule. nikuulize, mwinyi si rais wa zanzibar? mwulize, mipaka ya zanzibar anayoitawala ni ipi? Mwinyi anatawala unguja, pemba na visiwa vingine tu, na huko ndiko kwenye mikoa distinct kabisa anayotawala mwinyi. kwengine kote ni Tanganyika. mipaka ya...
  5. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Nielimishwe: Je, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika baadhi ya mikoa ya Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?

    umeuliza swali la kitoto sana. Kwani kwa sasa, Rais Mwinyi wa zanzibar, maeneo anayoyatawala ni yepi na yepi? leo hii ukisema kuna zanzibar, yenye mamlaka, yenye mikoa n.k na wilaya, ni maeneo yepi mwinyi anayahesabu ni yake ambayo sio ya muungano?mbona ni rahisi sana, kweli hauna akili ya...
  6. Kitchener

    JamiiForums Tanzania US na EU zimesema, vita ya maneno na matamko imekwisha sasa ni vitendo

    mwigulu juzi kasema rais samia kaagiza kufuta sheria ya kutaifisha mali; wanawaandaa watanzania waifute ili watoto wao na wao wakitoka madarakani wasiporwe mali. wamejifunza kwa rais rungu wa zambia, mtoto wake alikuwa na majumba rundo maeneo kama ya masaki ya kule kwao, wakamwambia aeleze...
  7. Kitchener

    JamiiForums Tanzania USILOJUA kuhusu mpango wa kufuta Sheria ya kutaifisha Mali

    wakiichezea, itawalinda wao hadi uje utunge sheria nyingine wao haitawahusu. unajua ukifanya kosa fulani wakati sheria haijatungwa au ilifutwa, hukamatiki. ndio mchezo wanaoufanya na wanawasogeza watanzania polepole kwenye kibra, na tangu lini rais akawa na mamlaka kufuta sheria? sheria...
  8. Kitchener

    JamiiForums Tanzania USILOJUA kuhusu mpango wa kufuta Sheria ya kutaifisha Mali

    nawahakikishia, huu ni mpango wa kutunga au kufuta sheria itakayowalinda mafisadi waliokwapua mali; wamehaha wamejifunza kwa yaliyotokea kwa Lungu zambia, watoto wao watafirigiswa tu wao wakifa, hata wakipeleka nje miamala ya kibenki imeacha alama.
  9. Kitchener

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

    chombo cha nje ndio kinaweza kuchunguza, sio chombo kinachoundwa na mtuhumiwa mwenyewe. pia, ina maana watatumia ile taarifa ya chande kutafuta jinai? wanamshauri vibaya sana mama.
  10. Kitchener

    JamiiForums Tanzania USILOJUA kuhusu mpango wa kufuta Sheria ya kutaifisha Mali

    Dunia yote, ukifanya uhalifu, au kutumia gari au kitendea kazi kufanya uhalifu, ili kukomesha tabia za kihalifu, matunda ya uhalifu au kitendea kazi huwa vinataifishwa. Jiulize, kwa nini PM amekuja leo ati ametumwa kuwa sheria ya kutaifisha mali ifutwe? Awamu hii wameiba sana, wanaogopa wao au...
  11. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Umoja Wa Makanisa Ya Kipentekoste(CPCT) Tabora Yakana Tuhuma "Mapenzi Ya Jinsia Moja"

    ajabu yake ni kwamba, hakuna mpira wenye upinde wala kabrasha, hakuna nembo ya ushoga, RC alikurupuka akachafua image ya watu bure, na wanasema leo ameruhusu mkutano uendelee. aibu kwake, rc ni malaya na mpenda kiki hadi imefichuka kuzaa na hakimu msaidizi wa jaji ambaye naye wanasema ana kiburi...
  12. Kitchener

    JamiiForums Tanzania RC Chacha asitisha mkutano wa injili wenye viashiria vya mapenzi ya jinsia moja Tabora

    na uzee huo aache kuchafua watu akalee kitoto kidogo alichozaa na yule hakimu msaidizi wa Jaji. hakuna mpenda kiki asiye malaya.
  13. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Mnaongea na Samia mwambieni Watanzania wanajua yote

    binafsi kama wakigawana wakapeana wao kwa wao ila kazi ikafanyika na maboresho yakafanyika, sina shida, cha muhimu hela waipate kwa kuifanyia kazi kuliko angekula mzungu. hata abdul akitaka kubeba tenda zote ila kilichotakiwa kujengwa kijengwe, sina shida. tatizo ni pale wataweka hela mfukono...
  14. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama ulinunua kiwanja Dodoma jiji, soma hapa utanishukuru

    kuna jamaa alinunua kwa wazawa, akabaki na karatasi asifuatilie hati, juzi kakuta watu wanamwaga mchanga na tofali, kuuliza kwanini wanataka kujenga kiwanja chake, jamaa kaja na hati kabisa amesaidiwa na maafisa ardhi, kwenda jiji wanamwambia ulitelekeza, ulitakiwa kuendeleza, tumempa mtu...
  15. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Mwandambo, Nachoka mimi baba yenu: Kweli Kachoka

    Mungu asaidie wasiwe walim........ na wakamchukua video.
Back
Top Bottom