Recent content by Kitarisi

  1. Kitarisi

    BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

    Utaliwa mpaka ukimbie bola kwenye football za betting Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kitarisi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kilio cha mtyuh mzima Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Kitarisi

    KUELEWESHWA

    Nazungumzia masomo ya secondary ya miaka miwili kiongozi ali maarufu kama QT!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kitarisi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamaa naona kidogo ww tunaweza kaa pamoja maana unachofanya kina-make sense kidogo ijapo ni kama unataka kwenda mbali na mm ila tyupo pamoja Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kitarisi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Akya-mungu tena yaan hapo unalia muda wote that's why maana hao hawaendi hasara siku zote sasa ndo ujue ni bora kupigwa na mkanda wa jeshi kuliko kufuata hizo odds kubwa mzeiya. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kitarisi

    KUELEWESHWA

    Ndo maana nimeleta kwenu saa ndo mnisaidie kuwa hapo labda zile coz heavy heavy hamna labda ni ualimu ama ni sanaa hvyo yan maana na dukuduku ndo maana nimeletwa kwa wana JF kiongozi. Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kitarisi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahahaah jana nimeungua 17500 sijui wenzangu na mm maana fulham na cardiff niliwapa yoyote kushinda alafu wakadroo vip wenzangua Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kitarisi

    Kijana amka, hakuna pesa rahisi

    Sio ya kila mtu kiaje bana mpaka uwe na 666 kwenye utosi ndo uwe humo maana unavyojib watutatanisha wengine huku em tueleze sio ya kila mtyuh kiaje Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kitarisi

    Kijana amka, hakuna pesa rahisi

    Umefika huo. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kitarisi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa sabb wanawajua bado hawaelewiki ni lazima uungue tyuh ndo maana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kitarisi

    Madhara ya kuchajia simu yako chaji fake na power bank fake

    Duuh Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kitarisi

    KUELEWESHWA

    Nilijaribu kuangalia matokeo yake wao kama umepita ni pass na kama umefeli ni failed sasa nashindwa kujua kuwa kama umepita unaweza kuchagua coz yoyote utakayoona ama kuna baadhi ya coz rafiki yangu unaona hapo inavyokuwa!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kitarisi

    KUELEWESHWA

    Nitashukuru sana kiongozi maana inaniwia ngumu sana ndo maana nimeleta kwa wengi maana sauti ya wengi inatambulika na kusikika haraka. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Kitarisi

    Nitajuaje kama kompyuta(PC) ni bora?

    Umepewa ushauri mkubwa usimlazimishie huyo kuwa una laki 3 tyuh Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kitarisi

    KUELEWESHWA

    Wakubwa naomba kujua kuwa mtu kama akisoma yale masomo ya secondary ya miaka 2 ali maarufu kama QT vipi akifaulu anaweza apply chuo coz yoyote ile ama kuna baadhi ya coz ndo itatakiwa asome!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom