Nitajuaje kama kompyuta(PC) ni bora?

Nitajuaje kama kompyuta(PC) ni bora?

1.hakuna laptop mpya ya laki 3, decent laptop mpya zinaanzia laki 7 hadi 8 hivi ambazo zina i3.

2. kwa bei hio utahitaji used laptop umekosa kabisa angalau 3rd generation ya i3/i5/i7

usinunue laptop ya i series bila kujua generation, watakuuzia generation ya kwanza mwisho wa siku utakuwa na laptop isio na speed, inayopata joto na isiokaa na chaji.

kupatana utazipata nyingi kwa bei hio
 
pm kuna laptop zisizojulikana

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app

Mimi ni mwanafunzi ninae taka kwenda kusomea afya Ila Nina laki tatu na nusu nataka kununua laptop je ntajua vp kuwa laptop hiii ni originally wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
Jichange kidogo mkuu ifike km kilo 5 hiv ukachukue angalau yeny Ram 2 na hdd gb 500.
Kwa pesa yako utapata yenye ram 1 na gb km 300 hiv ambapo huwa zinasumbua sana, na huwez kutumia hata masaa 2 bila kuchemsha na feni kuzunguka. Yangu tangu nimeinunua sijawahi kusikia feni inazunguka, na piga mzigo km kawaida.
 
umeona hata weeee

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Dell, lenovo na fujtus usichukue aisee
Dell
-huwa betri zake zinawahi kufa
-kuna muda, huwa kuna mstari mweupe unajitokeza (itakubid ubadilishe screen)

lenovo.
-port zake (Port za kuchomekea usb hufa mapema)

Lbda km dell, wamebadilika. Ukitaka kuchukia dell bora uchukue toleo jipya.
 
Laptop kwa ajili ya games hususan fifa/pes...ambayo inaweza piga hata games masaa 5 flululizo bila zengwe...inatakiwa kua na difa gan na naweza pata kwa bei gan??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia natafta
Yna

Kwa 350 utapata laptop "refurbished laptop".Imetumika lakini in good condition yani ukiiona huwezi kujua kama imetumika,yenye guarrantee ya miezi 12 kariakoo. Endapo ukihitaji nnaweza kukuconnect na aliyeniuzia mimi

Yna

Kwa 350 utapata laptop "refurbished laptop".Imetumika lakini in good condition yani ukiiona huwezi kujua kama imetumika,yenye guarrantee ya miezi 12 kariakoo. Endapo ukihitaji nnaweza kukuconnect na aliyeniuzia mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Dell, lenovo na fujtus usichukue aisee
Dell
-huwa betri zake zinawahi kufa
-kuna muda, huwa kuna mstari mweupe unajitokeza (itakubid ubadilishe screeb)

lenovo.
-port zake (Port za kuchomekea usb hufa mapema)

Lbda km dell, wamebadilika. Ukitaka kuchukia dell bora uchukue toleo jipya.
Acha uongo wewe mimi natumia lenovo G50 inamwaka na nusu sasa inapiga mzigo kama kawaida na haijawahi kifa chochote, kuhusu chaji ndo usiseme kabisa naweza fanya kazi zangu kwa masaa mpaka 6 bila kuichaji hata kidogo, kuhusu games nlinacheza mpaka PES 17.

Kikubwa katika laptop ni kupata original tu maswala ya majina hayana nafasi hata kidogo.

Pole sana.
Kama yako ni nzima hongera ila time will tell. Huu ujinga wa kufananisha laptop yako na zingine sijui umeutoa wapi? Mbona haujabisha kwenye Dell? Pole sana. Siyo kila thread uchangie zingine unaziacha tu. Ungeelewa kitu gani nazungumzia wala usingedandia post yangu. Kila kampuni inamapungufu yake. Hicho kimeo chako, usikiingize kwenye hii comment. Ww kaa nacho tu wala hajakuuliza mtu kama unatumia Pc. Huu ni ujinga wa kiwango cha PHD. kwahiyo unataka watu wajue kama unaPC?
Hakuna computer feki, zote ni original ila ubora unapishana. Huwezi kufananisha laptop ya Apple na Dell. Ww jamaa sijui wa wapi?
Vete a la mierda
 
Kila mtu ni mjinga katika hii dunia hata wewe ni mjinga pia, ila nilichokuwa nakupinga wewe ni kusema pc za lenovo na dell kuwa hazifai hazichelewi kufa.

Kila kitu kinahitaji matunzo ili kidumu, hizo pc unazoziponda kuwa hazichelewi kufa kuna watu wanatumia na miaka inaenda wala haziwasumbui, hata hizo dell unazosema kuwa nazo ni kanyanga kuna watu nawafahamu wamezinunua nyengne ni used kabisa na mpaka leo zinadunda mwaka wa pili sasa. Kama utabisha bisha na kama utatukana tukana lakini ukweli ndo huo.

Kila kitu matunzo hata uwe na hiyo apple unayoisifia wewe lakni kama matunzo hola iyakufa kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom