Mwaka jana nilisoma kitabu cha mwandishi aliyetoa kitabu cha Magufuli, nafikiri anaitwa Kabendera. Ameongelea tatizo la ushoga kwenye siasa za CCM. Akasema viongozi wakubwa serikalini wananunua vijana wadogo ili kuwatumia kung'arisha nyota zao za kisiasa. Juzi niliona mtu X anasema hivi sasa...
Hivi mwandishi kabendera yupo kwenye jukwaa hili? Nakumbuka alichunguza na kuandika kuhusu kifo cha Wayne Lotter. Ameandika kisa hiki kwenye kitabu chake. Aletwe hapa atupe taarifa.
Hivi karibuni kumezuka tabia ya watu wanaojiita 'content creators' kusafiri kwenda kwenye jamii za Waadzabe na kuwapiga picha na kuchukua video ambazo nyingi za hizo video ni za kuwadhalilisha na kuwaonyesha kama watu ambao hawana ustaarabu na vikaragosi.
Juzi kuna watu waliwatembelea na...
Kweli siasa hazina rafiki wa kudumu. Lakini acha watoane manundu, watasaidia kujenga upinzani wa kweli kama baadhi yao wataamua kuondoka CCM.
Wakati wakiandamwa na Magufuli, Samia alikuwa anashinda kutwa nzima na January akilewa na kuvuta sigara zake.
Samia alikuwa na hali ngumu mpaka...
Matinyi alikuwa kazini. Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Temeke ili kusaidia jambo la DP World. Akateuliwa kuwa Msemaji wa Serikali ili kusaidia jambo la Ngorongoro, DP World n.k, ambazo zote amezifanya vizuri. Anarudi "kwao" ambako atakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuisaidia nchi.
Thobias Makoba...
Unasema hayo kwa kuwa hujui namna serikali inavyofanya kazi. Msemaji wa Ikulu hana mamlaka ya kuongelea kuhusu matatizo ya umeme wala kujibu hoja za ujumla za wananchi wakati mawaziri wa sekta na makatibu wakuu wapo. Msemaji mkuu wa wizara ni katibu mkuu akisaidiwa na msemaji wa wizara, siyo...
Samia anapenda sana kusifiwa kimataifa. Msemaji wa serikali ajikite na mambo ya ndani na mkurugenzi wa Ikulu ajikite kwenye mambo ya nje. Kikeke alishindwa vetting ya kuwa msemaji wa serikali kutokana na utoto wake/bitozi. Kuna mtu leo alisema tweeter kuwa Samia anamtafuta mkurugenzi wa...
Nimekaa ikulu enzi za JK na najua ugumu wa kazi hii. Kwanza, huwezi kujenga "brand" ya rais ambaye hana "brand". Mamlaka ya nafasi ya mkurugenzi hayati nafasi kusoma hotuba zote za rais, kushirikishwa kwenye maamuzi ya mikutano ambayo rais anatakiwa kwenda na kushauri aseme nini n.k. Halafu...
Kuna tatizo sugu la ardhi limekuwa likiendelea nchi kwa miaka mingi. Halmashauri nyingi hazitaki kupima mashamba vijijini kwa makusudi mpaka wanapopata mradi. Mradi ukitokea wenye mashamba wanapewa fidia kidogo, mashamba yakishapimwa wanamilikishwa wafanyakazi wa ardhi halafu wanayauza kwa faida...
Juzi gazeti la Mwananchi lilichapisha habari kuwa mke wa Balozi Pereira, Mwanaamina Farouk Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana. Mtakumbuka kuwa huyu mwanamke amekuwa kwenye vyombo vya habari sana toka Magufuli aliopoingia madarakani. Nilifanikiwa kufahamiana naye mwaka 2017...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.