Habari wanajukwaa, Naomba Kusaidiwa Bei ya Pikipiki aina ya BOXER au TVS kwa Bei ya dukani hasa kwa Agents wao.
Nilitaka kuingia Kariakoo nikaambiwa huwa Wanachakachua Engine nikinunua itanisumbua ni bora Niende kwa Agents...
Ushauri na Maelezo Tafadhali naomba msaada.
Sent using Jamii...
Habari wanajukwaa, Naomba Kusaidiwa Bei ya Pikipiki aina ya BOXER au TVS kwa Bei ya dukani hasa kwa Agents wao...
Nilitaka kuingia Kariakoo nikaambiwa huwa Wanachakachua Engine nikinunua itanisumbua ni bora Niende kwa Agents...
Ushauri na Maelezo Tafadhali naomba msaada...
Sent using Jamii...
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (GCTC), Josephati Gwajima, amepata pigo baada ya baadhi ya wachungaji wa makanisa yake wakiwamo viongozi wa makao makuu, kuandika barua za kuachia nyadhifa zao ndani ya kanisa hilo, wakitoa sababu ya kupewa maelekezo na Mungu.
Inakumbukwa kuwa Askofu Huyo...
Rudisha Kumbukumbu nyuma
Mwaka 2005 CCM waliochujua Fomu walikuwa 24
Mwaka 2010 waliochukua fomu walikuwa 14
Mwaka 2015 walichukua fomu watu 40
Usidanganye watu aisee Chakaza,
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar - Moshi ni maamuzi yako tu
ATCL - Masaa Mawili 198,000/- TZS
TRC - Masaa 17 16,000/- TZS
BASI - Masaa 10 ila Unalala Ubungo stend 28,000/- TZS
LORI - Masaa 40 20,000/- TZS
Gari ndogo binafsi - Masaa 9 Zaidi ya 100,000/- TZS
Chagua ww Unachotaka
Unawapa pole Gani akati bado ni wanaCCM na bado ni Wabunge na Kinana ni Katibu Mkuu Mstaafu...
Au unawapa Pole Kwa Kutenguliwa Uwaziri hahahahaaaa
Kama pole ya Kitenguliwa uwaziri bas pole anza kumpa Nyalandu na Sumaye kisha nenda Kwa Membe, Mwigulu, Nk
Mitandao ya Simu wana hiyo kitu tokea kitambo tu...
Lkn watu hawatumii Sana hiyo kwasababu ya Uchache wa Bundle
Halichachi bundle... Kama Una Dk 10 bas utatumia Mpaka ziishe, hazina expiry date
Kaongea ila Kuna mambo hajui inatakiwa Afundishwe huyu...
Ingekuwa ni Kitu cha Kuja automatic bas mpaka sasa Tungekuwa tunajua Kijiti hiki Atakayefuata ni nani,
Ajulishwe huyu Muandishi kuwa Leo ndio Wakuu wa Nchi watakuja kutangaza Anayefuatia Baada ya Kupitia Vigezo vyote Vya Nchi husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.