Watu wanamaoni tofauti kuhusu namna Magufuli anavyoongoza, wapo wanaoona anafanya vizuri lakini pia tupo tunaoona anatupeleka chaka. Hivyo wewe kuja na hoja ya jumla kwamba huyu ndo the best african president si sawa na inashangaza kuona mtu wa kariba yako anakuja na conclusion ya aina hii. Too...
Chief unachanganya sana hapa, hatua zilizochukuliwa na chadema ni mbili muhimu;
1. Kwanza kujua hali zao kiafya, katika hili walihitaji kufuata taratibu za WHO kujitenga na umma kwa siku 14 ili kusubiri dalili za COVID-19 kudhihiri. Hili wamemaliza na sasa wanauhakika kwamba wapo salama hivyo...
Kama kuna jambo la muhimu na lenye kuakisi upendo wa chama kwa wanachama na viongozi wake ni hii hatua ya kuwaepusha na maambukizi. Wameongea na kutimiza waongeacho.
Bravo Chadema top leaders, bravo chadema MPs
Taarifa za fedha za mabenki kwa robo ya tatu ya mwaka 2019 zimetolewa kuanzia mwezi wa tisa mwishoni na mwezi wa kumi katika vyombo mbalimbali vya habari hasa magazeti kama ambavyo kanuni ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2014 inaelekeza. Kiujumla kumekuwa na kupanda kwa faida kwa mabenki...
Je umekuwa ukijiuliza juu ya benki gani ina matawi mengi na waajiriwa wengi Zaidi nchini? Vipi kuhusu mali zake na faida ipatikanayo? Mchango wake katika bajeti ya serikali ni wa kiwango gani?
Kanuni ya saba na nane ya kanuni za mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2014 inayataka mabenki na...
Duh, siamini kama hiki chama kinaweza kuwa na majibu rejareja kiasi hiki. Taasisi hii kubwa kubwa imepoteza mwelekeo kabisa, haina tena vichwa wa kujibu shutuma hii nzito kwa umakini. Hoja nzito inajibiwa kwa urahisi bila kikao chochote cha kiutendaji kukaliwa, ni hatari sana.
Mkaguzi wa Hesabu...
Mkuu sijui kwanini umeamua kufikia conclusion rahisi kwa jambo gumu, unatakiwa kujipa mda zaidi wa kutafakari jambo hili.
Hakuna harakati zakuonekana zilizofanywa na vyama vingine vya upinzani kuishinda chadema kuanzia 2015 baada ya uchaguzi. Kupitia chadema ni msingi, Chadema tumeweza...

KUSUDIO LA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA NAFASI YA KATIBU MKUU BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA).
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Katibu mkuu kimetoa tangazo la uchaguzi wa Chama ngazi ya Taifa utakayoanza tarehe 09 Desemba na kuhitimishwa tarehe 19 mwezi huo huo kwa...
BAVICHA IMARA, KIHARAKATI NA KITAASISI.
Uchaguzi 2019 twende na CPA Kitalika, Titho.E
CPA Kitalika, Titho.E ni mwanachama wa CHADEMA kadi namba 223075 Tawi la MWINYIJUMA wilaya na Mkoa wa kichama wa Kinondoni. Amezaliwa tarehe 5/3/1991 na kujiunga na chama tarehe 11/1/2011.
Kazi ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.