Recent content by Kitabu cha hundi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ufugaji wa nguruwe, kilimo cha matikiti maji na ufugaji ng'ombe wa maziwa

    "Nakamua siku 300 na kwa kweli ng'ombe wameniweka mjini na ninawaheshimu! Wakianza kukamuliwa ile asubuhi au jioni mlio wa maziwa kwenye ndoo kwangu ni Bora kuliko mlio wa ATM ikiwa inatoa pesa! Nikiwa maumwa pesa inaingia, nikiwa mzima pesa inaingia. Changamoto kubwa ni ma bwana mifugo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

    Tumia debur hutajuta kuifahamu. iko kwenye maduka ya dawa sanasana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni nakaribia kuumbuka

    Mkuu wewe umeanza kukosea tangu mwanzo. Halafu hakuna kipindi ulikua na wakati mgumu kama kipindi unaaanza kumtamani huyo wa pili kwa sababu tayari ulikua na huyo wa kwanza. Ulimlaghai na akakukubali na ukuwahi kumwambia ukweli kuwa kuna mwenzake, ukatumia akili, nguvu, muda na pesa kuhakikisha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Afande Anthony wa kituo cha Chalinze akamatwa na magunia ya bangi akiyasafirisha kwa gari binafsi

    kwamba unamaanisha sio dili la mtu mmoja? hatari sana...
Back
Top Bottom