Recent content by Kisu Cha Ngariba

  1. Kisu Cha Ngariba

    Uchaguzi 2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Habari Mh Lissu? Pole kwa kampeni. 1. Naomba kujua umejipanga vipi kutatua tatizo la ajira nchini, tatizo linalohathiri vinana wengi sana. 2. Kutokana na uvunjifu wa sheria na haki za binadamu unaofanywa na jeshi la polisi, je Serikali yako itakua tayari kufumua hili jeshi na kuliunda upya? Je...
  2. Kisu Cha Ngariba

    Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Kipindi cha Corona walitoa angalizo kuwa bidhaa inaweza kuchelewa.
  3. Kisu Cha Ngariba

    Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Alibaba ni vitu vya jumla, aliexpress ni vitu vya rejareja.
  4. Kisu Cha Ngariba

    Lissu anaogopwa. Raia na waandishi wazuiwa kuingia Mahakamani, Kisutu

    Wanazuia nini wakati Lissu hafiki mahakamani leo?
  5. Kisu Cha Ngariba

    Kisu cha Ngariba nimerudi tena

    Habari za jioni JF? Nilipotea kwa zaidi ya miezi 6 kwasababu ya zilizopo nje ya uwezo wangu lakini sababu kubwa ni kukosa uwezo wa kulog in kwenye account yangu. Naamini mtanipokea tena katika majukwaa yote, kwa bahati mbaya lile jukwaa letu pendwa wameliondoa[emoji35]. Tujumuike kusogeza...
  6. Kisu Cha Ngariba

    ATCL kupeleka ndege Afrika Kusini pamoja na Airhostess walikuwa sahihi, tusichukulie kila jambo ni "ufisadi"

    Wamepaka rangi juu ya rangi[emoji3][emoji3][emoji3] Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. Kisu Cha Ngariba

    Kinachojengwa Mbezi mwisho ni kuchezea kodi za Watanzania

    Angalia pale Ubungo, barabara ya mwendokasi haina miaka minne wameifumua yote. Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Kisu Cha Ngariba

    ACT-Wazalendo yapewa siku 14 kujieleza kwanini isifutiwe usajili wa kudumu kwa kuvunja ‘Matakwa ya Sheria ya Vyama vya Siasa’

    Kuimarika kwa ACT- Wazalendo kwa kasi ya bombardier kumemuogopesha msajili wa vyama. Sasa ana nia ya kuifuta ACT- Wazalendo na barua ya kuonesha Hiyo nia kawaandikia.
  9. Kisu Cha Ngariba

    Miezi 18 kabla ya uchaguzi mkuu, Magufuli kaamua kwenda Mbeya

    Ndani ya miezi miwili alizunguka Tanzania nzima, ndani ya miaka minne kaaenda kanda ya ziwa zaidi ya mara 5. Mikoa mingine hapana. Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. Kisu Cha Ngariba

    Millard Ayo kawa mmoja kati ya watanzania waliopata nafasi ya kusoma course ya IVLP

    Millard Ayo anaweza kuwa mtanzania wa pili baada ya Mwl Nyerere kwenda Marekani kwenye course ya International Visitor Leadership Program mwaka 1960. Course hii inatolewa kwa International leaders kwenda Marekani kujifunza kuhusu uchumi, siasa, jamii na tamaduni za Marekani. Course hii...
  11. Kisu Cha Ngariba

    Miezi 18 kabla ya uchaguzi mkuu, Magufuli kaamua kwenda Mbeya

    Limekua jambo la kushangaza kidogo Jiwe kwenda Mbeya miaka minne baada ya uchaguzi. Ziara hii inaleta maswali mengi kuliko majibu Je huu ni mwanzo wa kampeni za uchaguzi unaokuja? Je, zile zomea za kampeni zilimfedhehesha na kuamua kuwatupa? Vipi kuhusu mikoa mingine ya kanda za juu kusini...
  12. Kisu Cha Ngariba

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Naomba bei Mwl. Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom