Recent content by Kistaa

  1. Kistaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wote tusiokuwa na pesa za kuhonga tukutane hapa

    Hahaha wanagundu mkuu
  2. Kistaa

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Serengeti ajiuzulu

    We unaona mchuma unaondoka unashangaa shangaa utaachwa
  3. Kistaa

    JamiiForums Tanzania M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

    Hapo hata bao la mkono halipatikani,kujua kwingwi hupoteza maarifa
  4. Kistaa

    JamiiForums Tanzania Madiwani watatu Meru wajiunga CHADEMA

    Huwezi zuia mafuriko kama haya kwa mikono,ni bora kudandia mapema mchuma unaondoka ucje juta umeachwa!.
  5. Kistaa

    JamiiForums Tanzania CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Salaam, Pamoja na kuwa hawa wazee walionyesha njia mwanzoni mwa mapambano,sasa wameamua kujiengua,sisi vijana tunasema hapa ndo kwanza wamechocheo kuni moto. Tutahakikisha hakuna kulala hadi kieleweke wameondoka wao hawakuondoka na watu.
  6. Kistaa

    JamiiForums Tanzania Ashinda kwa kishindo mashindano ya kula chakula

    Hahahahaha umenivunja mbavu
  7. Kistaa

    JamiiForums Tanzania CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Katoka yy hajatoka na MTU Mapambano yanaendelea Hawa ndo viongozi wazandiki
  8. Kistaa

    JamiiForums Tanzania Mdomo Mchungu

    Dada yangu ananiambia akilala ucku mdomo unakua mchungu nini inasababisha hali hiyo
  9. Kistaa

    JamiiForums Tanzania Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Karibu dr
  10. Kistaa

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Mwenye kujua matokeo ya ulangha magharibi
  11. Kistaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sometimes kumweka msichana friendzone kuna raha yake

    Kumu kumesa unawaacha hivi hivi
  12. Kistaa

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Mwenye matokeo ya Ulanga magharibi tafadhali atujuze
  13. Kistaa

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliopoteza ndoto ya kurudi mjengoni!

    Wabunge wote waliopiga watu/wagombea wenza
  14. Kistaa

    JamiiForums Tanzania NEC kuanza kutoa fomu za Urais

    Itakuwa sheeada
  15. Kistaa

    JamiiForums Tanzania Lowassa kusimamisha Jiji kwenye uwanja wa Taifa tarehe 8 Agosti, 2015

    Inabidi kuwahi mapema kupata matukio muhimu
Back
Top Bottom