lets not keep
Our eggs in the same bucket me nimeipenda hii strategy and i think it will work out 75% positively,, naomba nipate watu 10 walio serious tuwe tunachambua hizi odd 1.5 tunapiga kura kutokana na suggestion zetu then tunaplace bet i am sure lazima tumchakaze kanjibay
Hapo kwenye...
Naona uzi ni wa muda mrefu lakini ngoja nichangie kidogo huenda ikawasaidia
Hyo chant au hayo maneno mnayoyaona hapo juu aliyowaambia bwana Rakims ni very powerful na ni ya kweli kabisa 100% proved,,
Lakini kwa nilivosoma coments za wengi mnashindwa kuyatumia hivyo naweza kusema hakuna hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.