Recent content by Kisiwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi wa Dry Cleaner-Mwanza

    Kama una uzoefu njoo inbox
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi wa Dry Cleaner-Mwanza

    Awe msichana Ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara Atapewa smartphone Mwezi mmoja kwa ajili ya kujifunza, atapewa nauli na pesa ya kula tu kwa siku. Mwezi unaifuata ndo ataanza kulipwa Biashara ipo Nyasaka
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kutoka kwa Pharmacist

    Kuna dawa aina 3 nimeandikiwa mojawapo ni ya kunywa asubuhi baada ya chai. Bahati mbaya alisema kwa mdomo tu ila hakuandika na hospitali ni mbali. Naomba kama kuna mtaalam anisaidie kutambua 1.Neuro support 2. Calcimag 3. Meloxicam Natanguliza shukrani
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa dodoma mjini

    Weka namba ya simu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada - kioo cha nyuma cha toyota Camry

    Nina toyota camry ambayo imevunja kioo cha kwenye but. Naomba msaada wanapochonga vioo hapa Tanzania, au kenya na Uganda maana Dar es salaam nimetafuta nimekisa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Japanese Toyota vs Toyota Indonesia

    Habari wakuu Swali dogo sana. Hivi toyota zinazotengenezwa Japan zinaingiliana spea na zile zinazotengenezwa Indonesia? Kuna toyota niliagiza kutoka Indonesia sasa kupata kioo cha nyuma imekuwa shida Msaada tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa gani huu

    Asante sana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa gani huu

    Ndugu zangu Mara nyingi hunitokea ghafla nagusa/napiga mkono vitu vikiwa mezani. Mfano naweza kuletewa chai lakini ghafla kunakuwa kama mtu kasukuma mkono wangu na kumwaga chai. Vivyo hivyo hutokea nikiwa na kinywaji mezani kama soda na kadhalika Yaani inakuwa kama kuna mtu kagusa mkono wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya "Vetting", na kuna umuhimu upi wa kufanya "Vetting" Serikalini na kwenye Taasisi zetu

    Kwa kiswahili inaitwa UPEKUZI
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Toyota Progres

    Asante sana mkuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Supu hata iwe moto kiasi gani ikiwekwa kwenye bakuli lazima itapoa tu
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Suzuki Grand Escudo S-Edition ya 2002

    Nipe link
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Suzuki Grand Escudo S-Edition ya 2002

    Nimekusoma. Haya nisaidie basi angalau jinsi ya kujua gari kama ni 4 cylinder au 6 cylinder kwa kuangalia picha mtandaoni. Hili nadhani liko direct
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Suzuki Grand Escudo S-Edition ya 2002

    Niwekee link mkuu
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Suzuki Grand Escudo S-Edition ya 2002

    Nimeshaweka
Back
Top Bottom