Lazy Bones unatafuta umaarufu wa kupost or what
Sendeka ni mtu asiye na faida yeyote ukawa, tungemkosa mtu kama Lembeli, hapo kweli tungekuwa tume loose lkn Sendeka, go to hell with him
Nafikiri Mr nobody sijui lazy bone or whatever, kuna mtu kweli anahaja na hizi balabala zako, fanya yako tuache wafu tuzike wafu wetu
Kwn we ndio msemaji wa CDM, kwenye hii nchi hakuna those fucken news zaidi ya za CDM, be civilised men
Ni lolote ndio maana toka aondoke kwenu, haya magazeti uchwara yanaweka hbr zake front page,
Kwasababu kwenu cio kt tulieni wafanye yao nyie fanyeni yenu
Mzee Msekwa cjakusikia mda mrefu sana, umeibukia wapi tena, mbona unafanya kazi za Vuvuzela.
Umeadiwa nn mzee?
Wacheni watu watumie...
Galang, usipotoshe watu, Mapadlock kapita zake kimya kimya mitaa ya Ngarenaro
Nilichoshuhudia ni dirisha tu ndio lilikuwa wazi, kila mtu alikuwa bize na mambo yake
Very fan, kwamba hawajui utajiri katoa wapi, akiamia upinzani, utasikia mengi vyanzo vyote vitawekwa bayana
Nchi hii inasifika kwa upelelezi toka nikiwa mtt nasikia haya, sasa wameshindwa vipi kumchunguza, au kumchunguza ni kujichunguza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.