Wadau naomba msaada wa uchaguzi wa bati hizi za 'SAUZI'. Nimeambiwa na baadhi ya wadau kuwa IT 5 zinavuja sana, hivyo nikageukia kwenye Lugoba, Mangalore na Maysore. Mwenye uzoefu tafadhali msaada.
Kuna mtu mmoja mwenye line ya AIRTEL ameanzisha kamtindo ka kuniandikia meseji za kunitaka mapenzi na zingine za matusi, halafu immediately baada yakutuma meseji anazima simu au kutoa hiyo line. Ninamhisi jamaa fulani, ila sina ushahidi. Ninajua vodacom huwa wanaonesha jina la mtu unapotaka...
Tundu Lissu tulikuwa naye kwanza Mafinga JKT halafu tukapigwa bogi kwenda Itende JKT. Jamaa alikuwa mtata kama hivi alivyo sasa. Kademu kake kalikuwa kanaitwa Suzana, kembamba kivi. Mimi niliondoka na bogi la KMT Chita kulinda reli na madaraja ya TAZARA.
Ninahitaji kununua kifaa tiba fulani toka katika kampuni ya Maya medical equipment limited yenye anwani hii hapa:No 10, Haiyue building ,HaiBin garden, Shangjiao Dashi town, Panyu Area,Guangzhou,China. Je kuna mtu mwenye taarifa au uzoefu wa kununua vitu kwa mtandao toka China? Naogopa kulizwa...
Mtangazaji wa ITV michezo anatupa habari zingine za kina Mess na Pele bila kutaja habari za timu yetu iliyocheza na kushinda leo! Habari gani ina uzito zaidi ya hii? Tuenzi vyetu kwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.