Nenda ubalozini kwao, kama hakuna tz check Nairobi...google utapata taarifa zaoMsaada: Natakiwa kwenda Camerron baada ya wiki tatu kuanzia sasa. Visa napata wapi?
Asante mkuu. Hakuna ubalozi wa Cameroon Dar. Nilitaka kujua kama kuna ubalozi mbadala unaotoa huduma kwa niaba yao.Nenda wizara ya mambo ya nje watakupa maelekezo.
nenda kenya watakua na ubalozi maana kenya airways inaruka Kenya-CameronAsante mkuu. Hakuna ubalozi wa Cameroon Dar. Nilitaka kujua kama kuna ubalozi mbadala unaotoa huduma kwa niaba yao.