Recent content by Kisichokuua Kinakukomaza

  1. Kisichokuua Kinakukomaza

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake wa JamiiForums?

    Wako so Insecure
  2. Kisichokuua Kinakukomaza

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake wa JamiiForums?

    Wana sifa na tabia zote mbaya unazozijua wewe, HAWAFAI!!!
  3. Kisichokuua Kinakukomaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Mkuu Mstaafu Mutunga, Martha Karua na wenzake 4 waiburuza Serikali ya Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki. Wataka fidia na msamaha

    Ukiinama nchale, ukiinuka nchale serikali kazi wanayo 😄 😄 Ikiwezekana waende hadi ICC
  4. Kisichokuua Kinakukomaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

    Ila sio wanawake wote
  5. Kisichokuua Kinakukomaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoto wa Shetta, Qailah: Wote Wanaomtukana Rais Samia tutapita nao mazima

    Kuna wq Kuna watoto rika lako wanakaa chini madarasani, wanakula mlo 1, wanaenda shule kwa miguu kilometre kwa kilometre, wazazi wao wameuawa, wametekwa, wengine kwa matatizo ya udogoni kwa hali walizopitia wamechanganyikiwa wengine wameuawa, nakadhalika, Hivyo basi Usitafute Laana!
  6. Kisichokuua Kinakukomaza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

    Anatutaftia dhambi 😄
  7. Kisichokuua Kinakukomaza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

    Waaache waendelee 😄 🤣
  8. Kisichokuua Kinakukomaza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

    Si wamejifanya kuja Instagram na sisi tupo Instagram sasa
  9. Kisichokuua Kinakukomaza

    JamiiForums Tanzania Operesheni Unfollow Wasanii wote Mitandaoni ambao hawasimami na Wananchi kwenye Haki

    Mimi na suggest isiwe tuu, ku unfollow bali pia, kureport account zao, na pia unsubscribe youtube zao na kote, kuto ku like posts zao zozote, na kutokununua bidhaa zao kwa wafanyabiashara wasanii na hata wale wasio wasanii bali hawatutetei, pia kuto kuangalia clip zao mitandaoni na kuangalia...
  10. Kisichokuua Kinakukomaza

    JamiiForums Tanzania ITV shida nini?

    Yaani hivyo ndivyo infact ni IPP Media zote, zinakatakata DStv
  11. Kisichokuua Kinakukomaza

    JamiiForums Tanzania Madai ya watuhumiwa kulawitiwa na kupigwa video na picha za uchi. Je, wanaorekodi wanazipeleka wapi?

    Watatoaje wakati wanaona aibu, hilo ni jambo la haya eti! Ni hao tuu ndo hawana aibu kufichua walotendewa ndo wengine now wanaanza kuinuka na kusema
Back
Top Bottom