Recent content by Kishnajr

  1. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania KERO Sekretarieti ya Ajira, kuna maswali wakati wa Usaili hayana mantiki kabisa

    Na vpi yale maswali ya hesabu kwny somo la history. Yan hesabu kbsa unaweka kwny history mtu atafute ujazo wa kg,
  2. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania KERO Sekretarieti ya Ajira, kuna maswali wakati wa Usaili hayana mantiki kabisa

    Hahahahhaa ndgu maswali hamsini kamili niliyofanya mim jana. Somo history lakin kuna mpaka maswali ya hisabati yan mpk unajiuliza hawa watu vpi?
  3. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Walofanya leo usail wa history wanasema kulikuwa na maswali ya hesabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Km ni kwel aisee utumishi SHIKAMOO,yan history unaweka na hesabu km geog kwel jmn?
  4. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Unatabiri nini mwisho wa vita hii Iran vs Israel

    IRAN sio waarabu wale ndgu, au we yyte mweupe aliemuislamu na akatoka middle east kwako ni mwarabu et[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kafanye homework zako tena
  5. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Namna Israel ilivolemaza Iran kwa muda mfupi

    Netanyahu nakimbilia turkey [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Acha uongo wew
  7. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Ila Hawa iran kwanin hawaipigi hii Israel? Kanchi kadogo kanasumbua. Huyu lzm awe na backup ya mmarekani hawez kuwa mwnywe huyu Israel
  8. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Bettery ya Aquos zero 6.

    Smahani wadau, naomba kuuliza. Wapi naweza kupata bettery ya sim Aquos zero 6. Sim yangu imekufa bettery.
  9. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo mashujaa waliouawa kwa kupinga ukoloni na kujitoa muhanga kuilinda ardhi ya Tanganyika

    Kwhapa kwetu ustaarabu ulianzia pwani soma peryplus utaelewa nachosema.
  10. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo mashujaa waliouawa kwa kupinga ukoloni na kujitoa muhanga kuilinda ardhi ya Tanganyika

    Kuna jamaa hpo kamtag mzee saidi half akasema hapa hkn muislamu aliyetajwa. Ndio nikamfahamisha hao ni waislamu. Harakat zote za kupinga ukoloni na kupigania uhuru nchi hii zimeanzia kwa waislamu. Ndio maana hayo majina ya hao miamba ni ya kiislamu tupu
  11. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo mashujaa waliouawa kwa kupinga ukoloni na kujitoa muhanga kuilinda ardhi ya Tanganyika

    Wew hujuw k2, hao karbia wote waliotajwa hapo ni walikuwa waislamu. Majina yao halisi haya hapa. 1. Kinjeketile jina halisi SELEMAN MAMBA 2. Chief songea- ALLY SONGEA MBANO 3. Mkwawa n.k Hao wote walikuwa waislamu Sikwambii kuhusu akina abushir,akina Makunga ya,akina bwana heri n.k
  12. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania STB VERIFICATION REQUIRED (AZAM TV) naomba msaada jinsi ya kutatua hii changamoto kwenye kisimbuzi

    Samahan wadau naomba msaada jinsi ya kutatua hii changamoto kwny kisimbuz cha azam antena. Inaniandikia tu "stb verification required" sas hapo nachemka Msaada tafadhar.
  13. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Dejavu: Abraham Lincoln, Rais wa Marekani aliyeota kifo chake

    Hzi fact zaongo sana.
  14. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji TV

    Na mpya ziko bei gani?
  15. Kishnajr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji TV

    Daaah changamoto kaka
Back
Top Bottom