Hao traffik walikuwepo wapi mpk hiyo hiace ikaiba root?? Nane nane kuna trafik igawilo kuna trafik uporoto kuna traffik kama sikosei so hao trafik.wote waliiruhusu hiyo hiace ipite huku imejaza watu hivyo?.. MUNGU tunusuru waja wako..
Kazana kumuomba mungu atakujaalia mume alokuwa na kheri na weye.. kuzaa wala sio tatizo my dear alizaa princess diana na bado dodi el fayed akamtaka so sio mwisho wa dunia miaka yako bado midogo ndoa sio rahisi kama unavyodhani sasa hivi tulia lea mtoto wako na ikiwezekana jiendeleze kimasomo...
Binaadam wengine hawana kazi kweli.. sasa kama alidokoa pesa kwenye account ya wanae si wa kwake? Nashangaaa imekuwa big issue kuchukua pesa kwenye account ya wanae sioni tatizo liko wapi... miye nakula sana pesa ya mwanangu... si ndo mama yake ale nani sasa??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.