Recent content by KISHADA

  1. K

    Wenye CAF CL tittle 5 wamekuja kujifunza. Unahisi hawaijui historia ya mkufunzi?

    Watani vipi. Yani leo kwa sababu wamekija mazembe tayari mdomo uko juu sio. Kwani kuna kipya kipi ? Hayo wanayoyafanya Yanga ni Copy & Paste ya Simba. Wakati Dewji anachanja mbuga kutafuta washirika na vilabu kwa ajili ya Programu za ushirikiano hata GSM alikuwa hajaiingiza ufadhili Yanga...
  2. K

    Uhasama wa Tanzania bara na Zanzibar unazidi kukua na utaleta madhara makubwa kama yanayosemwa hayatashughulikiwa

    Mkuu unajifariji. Iwe ni makubaliano iwe ni mkataba as long as imehusisha pande mbili hapo tu tayari ni shida. Tatizo ni undumi lakuwili. Labda Tanganyika iendelee kufaidi Muungano huu milele ila ikifika siku Tanganyika hainufaiki hapo ndipo zilipo funguo za Muungano huu. Funguo zengine ziko...
  3. K

    Upotoshaji wa Muungano ni Zanzibar na Tanganyika na wala siyo Tanzania Bara na Zanzibar

    Hahaha. Kivuli kinaishi. Historia haifutiki. Ni Tanganyika na Zanzibar tu.
  4. K

    Upotoshaji wa Muungano ni Zanzibar na Tanganyika na wala siyo Tanzania Bara na Zanzibar

    Utawasikia hata waheshimiwa, viongozi wa Taasisi za Serikali na Mashirika wakisema "Tunasherehekea miaka 59 ya Muungano wetu wa Tanzania Bara na Zanzibar Kilicho wazi ni kwamba Upande wa Bara hawapendi kutaja jina TANGANYIKA, ni kama vile kwa makusudi au wanaona kama ni aibu fulani hivi. Kwa...
  5. K

    Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Nilisema haya mambo huyajui. Mwezi una hesabu zake. Fuatilia huko kwenye elimu za Astronomy.
  6. K

    Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Hujui maana ya mwandamo wewe. Muandamo ni new moon. kwa mujibu wa sheria, Mwezi ukishazaliwa(kuandama) ndio huo huo. Ishu ya kuuona inategememea Position ya nchi. Hoja hapo sio kuuona. Ni kuonwa kwa mwezi na taarifa Authentic zimetoka . Jana mwezi ulishazaliwa na kuonekwana na waliotangulia...
  7. K

    Sikilizeni, hakuna Simba bila Yanga na kinyume chake. Mngejua?

    Mwanzoni mwa kuinukia kujua mpira na kufuatilia ilikuwa naumia sana pale timu ninayoipenda kufungwa au kuwa na habari mbaya kama migogoro na mifarakano. Nimefuatilia kwa muda mrefu mpaka nilipokuja kungundua Kuwa Timu za SIMBA na YANGA ni habari nyengine hapa Tanzania. Kwa kweli nilipata tabu...
  8. K

    Kwanini ACT Wazalendo wasimpinge Rais Mwinyi Zanzibar? Lazima kuna Tatizo

    Tupe ufafanuzi ili tupate faida mkuu. Unafiki wao ni upi ?
  9. K

    Kwanini ACT Wazalendo wasimpinge Rais Mwinyi Zanzibar? Lazima kuna Tatizo

    Hapana, kuna mahala tu huwa wanashere common interest, Maslahi ya nchi.
  10. K

    Kwanini ACT Wazalendo wasimpinge Rais Mwinyi Zanzibar? Lazima kuna Tatizo

    Haya ni maandamano ya vyama vinavyounda GNu Zanzibar kwenye moja ya SHEREHE ZA KITAIFA huko Zanzibar. Ujenzi wa demokrasia una gharama. ACT wasibezwe. Siasa ni mikakati na malengo.
  11. K

    Kwanini ACT Wazalendo wasimpinge Rais Mwinyi Zanzibar? Lazima kuna Tatizo

    Mpe benefits of doubts anaejikweza ili muda uweze kumprove wrong. Siasa ni mchakato. Malengo ni mkakati.
  12. K

    Kwanini ACT Wazalendo wasimpinge Rais Mwinyi Zanzibar? Lazima kuna Tatizo

    Mada inajieleza. ACT ni mdau ndani ya Serikali ya Zanzibar. Makamu wa kwanza wa Rais ndie mshauri Mkuu wa Rais ingawa Rais hapangiwi la kufanya sawa. Tatizo linakuja kwenye Dhamira ya kweli ya kile anachohubiri Rais Mwinyi. Haiwezekani katika hali ya mashaka ya kile kilichotokea uchaguzi wa...
  13. K

    Zitto hana chama, chama ni cha Wapemba na wafuasi wa Maalimu Seif

    Kwanza naona mleta mada na Baadhi ya wachangiaji kama wameanzisha huu uzi kutoa stress zao. Ukiacha lugha za chuki kwa Zitto. Kilicho muhimu ni kujua namna ya kwenda na wazanzibari. Hakuna chama chochote Tanzania hii ambacho hakitamani kupendwa na Wazanzibari. Si chama tawala wala Upinzani...
Back
Top Bottom