Recent content by Kisesa Yetu

  1. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe unagombea Ubunge au Urais wa Jamhuri?

    Angalia sehemu anazoenda..ACT wanatembelea gia ya Udini..
  2. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sitampa kura yangu Dkt. Magufuli kwa sababu hii 'kubwa'

    Haitaji kura yako chafu
  3. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mlevi mmoja aapa kumpigia kampeni Lissu kwenye vilabu vyote vya pombe za kienyeji DSM nzima

    Sahihi..huyo ni saizi ya walevi
  4. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania Watanzania chagueni Lissu au Membe kuwaongoza 2020-2025 kwa maslahi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Utakuwa mkenya wewe, unataka tumuachie Magu ili mumchukue?? Poleni wakenya
  5. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mimi nisingethubutu kumsogelea huyu Mama Mjane

    Hapo tatizo ni Musiba kwenda kwenye msiba au? Kitanzania, kwenye misiba tunaweka tofautizetu pembeni.
  6. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujio wa Tundu Lissu utatufanya tukapige kura

    Labda akapambane na Membe ACT
  7. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania Imagine Membe angekuwa Rais toka 2015?

    Ingekuwa muendelezo wa JK. Mungu atuepushie mbali
  8. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania David Concar kuchukua nafasi ya balozi Sarah Cooke

    Alikuwa balozi Somalia?? Haya, tuachie vyombo husika..
  9. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

    Unaongea pumba, watu wanakudharau hawakujibu alafu unarudi tena kucheua mashudu..pole zako
  10. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania Mission accomplished- Fall of Jamuhuri ya Kusadikika

    Mlisema hivyohivyo awamu ya tano majirani zetu walivyounda CoW (Coallition of Walevi)..Endeleeni na hizo wishful thinking zenu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio Magufuli, Watanzania tuna tatizo kubwa zaidi

    Tatizoletu tunajua kila kitu..fanya tafiti..chukua watanzania random mtaani, kazini etc..muulize swali kuhusu kitu chochote kuanzia politics, uchumi au maswala ya kijamii (on a local au hata global level). Amini nakwambia, hutapata mtu anakujibu kuwa hayuko conversant na hiyo subject..kila mtu...
  12. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

    Usi paniki...vuta pumzi, kunywa maji na jibu hoja Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

    Wataalamu mnamshangaa au mnapaswa kujishangaa nyie mnaotoa majibu yasiyo na kichwa wala miguu..mimi siwashangai kwasababu kuna mtu nilisikia alishawai kuweka mkojo wa dume, mkapima mkatoa majibu ana mimba. Plain stupid Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

    Kwa akili hizo, nina mashaka kama huyo binti ameolewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kisesa Yetu

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kumshtaki baba yangu

    Mzee cheche sana huyo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom