Utafikiri kuna agenda ya siri lakini laa tatizo ni wewe mwenyewe una mapenzi na chama chako kupita kiasi kipofu utaita chongo kila alisemalo mwana chama chako ni haki na kweli kubali kukosolewa utakomaa kisiasa
Mtasema ni udini lkn sera ya CUF ni haki sawa kwa wote hata hao Mashekhe wana haki ya kupata zamana alafu ndio kesi iendelee au ndio yale kundi mmoja lina khaki kuliko kundi lingine HAKI SAWA KWA WOTE
hayo ndio matokeo ya ubaguzi sasa hvi ni udini nje nje lakini ndipo tulipotakiwa kufika alianzisha aliyeanzisha kwa kuligawa kundi mmoja na kuona jingine ni bora kuliko ndio amewachia watanzania shida kumbwa sana ambapo kama halitoangaliwa tunaelekea kubiya viongozi hakikisha kila mmoja...
ndio CCM mmeshinda lkn angaliena idadi ya kura kwa ujumla bado mnahitajika kujipanga kama mnahitaji kuendelea kuiongoza dola mwaka 2015 na viongozi wa siasa tumiene muda wenu kueleza sera sio matusi watanzania wa siku hzi sio wale wa zamani wanajua kuchambua mchele na pumba
hayo ndio wanayotaka kusikia wana chadema lkn jaribu kupunguza propoganda kwani mara nyingi mnachoongea kinakuwa na ongezeko la chumvi kwani ingekuwa mnayoongea ni kweli nisingetegemea ccm kupata kiti hata kimmoja kwenye uchaguzi wa madiwani na pindi mnapojisifu sana mnajisahau mnafikiri tayari...
Mtashindana sana kuwa huyu kafanya hili yule hajafanya lile kama huyu hajafanya hili basi itabaki tu hajafanya hatuangalii ni mwenyekiti wa chama gani iwe chalinze iwe hai wote tutasema hawajafanya kazi
tatizo ukipenda chongo utaita kengeza basi hili ndio tatizo la wanachama wa CHADEMA hata kama mbunge wao muelewa ni mdogo watamwagia sifa tele lkn ninachojua chadema wakiikamata nchi mwaka 2015 lazima nchi ibinuke jirekibisheni wana CHADEMA la sivyo .........
nimewaelewa wana freemason hamuwezi kuheshimu dini ya mtu mwingine bado watu hawajawatambua tu hata hao wakristo wanaoshabikia hawajui lilo ndani ya cdm
Maneno mazuri lkn tuhakikishe njia za kidiplomasia zimeshindikana kabisa tukumbuke ita vya Uganda ambavyo mimi nijuavyo havikuwa vya lazima lkn vimetugharimu kiuchumi mpaka leo sasa angalia tz ya leo uchumi ulioshikiliwa na mafisadi
Anachoongea Lowassa ni sawa kabisa ila tujitahidi sana kwanza njia za kidiplomasia kwani tukumbuke vita vya Uganda vilitugharimu kiuchumi na uchumi wenyewe huu ulioshikiliwa na mafisadi tuangalie sana isije ikatugharimu mpaka kizazi cha wajukuu zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.