Recent content by kisatu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Baraza la madiwani Malinyi latoa onyo kwa DC Majura

    Bado ana nafasi ya kuanza upya , kazi ngumu sana atakaa bench hadi matoko yaote sugu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Baraza la madiwani Malinyi latoa onyo kwa DC Majura

    Kuwa mzalendo ,CCM ndio chama pekee kwa maslahi ya Watanzania wote sio hizo saccos
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baraza la madiwani Malinyi latoa onyo kwa DC Majura

    Hata wa upinzani hadema wapo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Baraza la madiwani Malinyi latoa onyo kwa DC Majura

    Mnyetishaji wa habari Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Baraza la madiwani Malinyi latoa onyo kwa DC Majura

    DC MALINYI AONJA JOTO YA JIWE TOKA KWA BARAZA LA MADIWANI Katika kikao cha halmashauri ya wilaya ya Malinyi kilichofanyika 12/08/2017, kikao kilijadili ripoti ya utendaji na utekelezaji wa Ilani ya CCM ndani ya halmashauri ya Malinyi, ambapo kwa mwaka 2016/17, halmashauri imeweza kutekeleza...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tumuamini Nani, Chadema Au Zitto Kabwe?

    Aisee naona bado una radha yake ile ile. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Gorofa 1 ya TRA Chato ijengwe kwa bil 1.4 wakati Gorofa 4 UDSM zilijengwa kwa Mil 500?

    Tofautisha kati ya hostel na ofisi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!

    Kama ilikuwa ni wema kwanini asingegawa misikitini na makanisani kama bwana yule Wote waliotendewa wema ni wana mtandao waliomsaidia kupiga alikuwa anarudisha fadhira Mayalla ni Manjaa
  9. K

    JamiiForums Tanzania E-mails kati ya James Rugemalira na Rais Jakaya Kikwete zitamaliza kesi

    Acha upamabafu wa kilusilusi, nani anayeweza kufanya haya kama sio JPM ? Kiongozi hana hata A/c nje ya Afrika sio miviuongozi ya ukiwa yote mijizi
  10. K

    JamiiForums Tanzania IKULU: Kamati ya Pili ya Mchanga wa Madini kuwasilisha ripoti yake kwa Rais Magufuli Juni 12

    Hapa lazima vichwa viliwe nasikia kuna waziri kaitwa DSM
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kibiti: Mwigulu Nchemba ni wakati wa kujitafakari na kujiuzulu ateuliwe Adadi Rajab

    Mmechelewa tayari keshaanza kumsifia mwenye mamlaka na kuanza hadi kuwatuhumu kina Werema utadhani yeye ni msafi kiasi hicho. Pengine ndio janja yake ili mkubwa asimtumbue. Hawa wanatakiwa kukaa bechi kwa maslahi ya Taifa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iitazame care for aids Tanzania/Kenya

    Kuna taasisi isiyokuwa ya kiserikali ambayo makao makuu yake yapo Kenya na Tanzania imeanza kufanya kazi. Moja ya majukumu yake ni kusaidia waathiri wa virusi vya Ukimwi kwa kuwapa chakula,madawa, na bidhaaa mbalimbali. Lakini kuna tetesi kwamba vitu wanavyotoa ni vile vilivyoisha muda wake...
  13. K

    JamiiForums Tanzania DC Mndeme kukomesha mimba za utotoni Dodoma

    *DC CHRISTINA MNDEME KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI DODOMA* Wilaya ya Dodoma mjini chini ya Mkuu wa wilaya mh Christina Mndeme imezindua kampeni ya magauni manne katika kupambaba na changamoto za mimba za utotoni/wanafunzi,uamuzi huo umetokana na kukithiri kwa mimba kwa wanafunzi kiasi cha...
Back
Top Bottom