Recent content by Kisanduku

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wanapomtongoza mwalimu wa kiume

    Nilidhani kutongoza walimu wanafanya wanafunzi wa sekondari tu. Nimeshangaa kusikia hata primary wanafanya.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Swali gumu aliloulizwa Rais Samia nchini Marekani

    Julius Nyerere alikuwa na GPA ndogo kuliko wote Darasani mwake.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Jikite kwenye hoja.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Wewe umeelewa. Achana na genge la wasiojua.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Nimeangalia video ambayo Mkuu wa majesho yetu, Jenerali Venance Mabeyo akiongoza harambee ya kuchangia fedha kwa ujenzi wa moja ya parokia ya Kanisa Kaoliki, nadhani ni ya Kawe kama sijakosea. Katika misa na hafla ile Generali Mabeyo aliwaongoza vizuri sana wanajeshi wenzake wakachangia fedha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Katiba inaonesha Rais akiwa nje ya nchi majukumu yanabaki kwa Makamu. Kwanini Rais anatoa 'press' akiwa nje?

    Ibara ya 47(1)(c) inasema wazi kwamba Rais akiwa hayupo Makamu wa Rais anafanya kazi zote za Urais na ninainukuaa hapa chini, "Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla, na atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Katiba inaonesha Rais akiwa nje ya nchi majukumu yanabaki kwa Makamu. Kwanini Rais anatoa 'press' akiwa nje?

    Acha kudanganya watu ujinga wako na hutaji ibara yoyote inayoseea unayosema. kinyume chake ibara ya 47(1)(c) inasema wazi kwamba Rais akiwa hayupo Makamu wa Rais anafanya kazi zote za Urais na ninainukuaa hapa chini, "Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Katiba inaonesha Rais akiwa nje ya nchi majukumu yanabaki kwa Makamu. Kwanini Rais anatoa 'press' akiwa nje?

    Rais akiwa nje hawezibkutekeleza majukumu yake. https://www.jamiiforums.com/threads/rais-samia-hakuhitaji-kiapo-cha-urais.1927483/#post-40687355
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais hapaswi kufanya kazi za kawaida za Rais akiwa nje ya nchi

    Tutazoea
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais hapaswi kufanya kazi za kawaida za Rais akiwa nje ya nchi

    Wakati Rais Samia ambaye yuko Marekani, nje ya nchi, kamteua Rosemary Slaa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya MSD.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hakuhitaji Kiapo cha Urais

    Muulize mwandish wa makala.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hakuhitaji Kiapo cha Urais

    Ndiyo maana Samia anasema Katiba mpya si hitaji la wengi maana hamuijui hata ya sasa, kama wewe.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hakuhitaji Kiapo cha Urais

    Nilikwambia, hawataelewa na wengine hawatasoma kabisa kama huyu anaishia kudhani.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hakuhitaji Kiapo cha Urais

    Hawataelewa
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kajisafisha, kaonesha dhamira njema, Majaji waliosigina sheria na Katiba wanajisafishaje?

    Siyo kila jaji ni mpuuzi. Wako majaji majadiri na wazalendo kama Jaji Rumanyika au Ndika wote hawa wako Mahakama ya Rufani.
Back
Top Bottom