Recent content by kisana kiki

  1. kisana kiki

    Ripoti ya CAG: CHADEMA inaisiaidia CCM kuhujumu Uchambuzi wa ACT-Wazalendo?

    Yani mimi nikae nisubiri Dalali Zito aje anichambulie ripoti? Labda sio mimi
  2. kisana kiki

    Martin Maranja Masese mchango wake kwenye kesi ya Mbowe, hautasaulika

    Mleta mada umeeleweka mno. MMM atavikwa nishani siku moja na mchango wake utatambuliwa.
  3. kisana kiki

    Nichague kazi binafsi au TAKUKURU?

    Watu walikuwa wengi kama nyuki na test ilikuwa tight sana. Pia, lodge zilijaa sana kiasi kwamba bei zikapanda. Again, nawatakia kheri lakini walioshiriki wote.
  4. kisana kiki

    Nichague kazi binafsi au TAKUKURU?

    Kwa niliyoyasikia jana kwenye interview Dodoma, nilikuwa sahihi sana kutokwenda. Nawatakia kila lenye kheri lakini mliokwenda.
  5. kisana kiki

    Nichague kazi binafsi au TAKUKURU?

    Ndio aiseee Nilipita kwa mujibu wa sheria. 834 KJ
  6. kisana kiki

    Nichague kazi binafsi au TAKUKURU?

    Nilifanya interview mwezi wa 9, nimekuja kufanya ya pili mwezi huu mwanzoni then last week wakanipa offer them contract. Natakiwa kuripoti Monday Mkuu. Ni MUNGU kasaidia kiukweli. Kilichonifanya niombe ushauri ni hicho ulichosema baina ya gap kwenye maslahi lakini pia niliangalia security...
  7. kisana kiki

    Nichague kazi binafsi au TAKUKURU?

    Wengine maadili hayaruhusu kuishi kwa namna hii Mkuu na pia sidhani kama ina consistency maana muda wowote unaweza kukamatwa na ukawa matatizoni na si sawa kudhulumu haki za wengine. Japo naheshimu mawazo yako
  8. kisana kiki

    Nichague kazi binafsi au TAKUKURU?

    Nimekupata vizuri sana na ndio lengo langu. Nataka angalau Mwisho wa mwaka 2022, niwe nimepanda daraja kama sio maslahi kwa kufanya kazi vizuri mwaka mzima.
  9. kisana kiki

    Nichague kazi binafsi au TAKUKURU?

    Ushauri Mzuri Mkuu. Tunajifunza sisi vijana taratibu.
  10. kisana kiki

    Nichague kazi binafsi au TAKUKURU?

    Mkataba ni wa kudumu, hauna time limit unless niamue kuacha au wafanye termination Mkuu.
  11. kisana kiki

    Nichague kazi binafsi au TAKUKURU?

    Mkuu hii si kazi yangu ya kwanza na wala mimi sio mtu wa bata kabisa. Niliuliza tu kupata ushauri wa wadau. Nimekupata vizuri sana lakini.
  12. kisana kiki

    Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

    Tunasubiri hotuba kwa hamu kubwa. Hapa katikakati kumekuwa na hotuba za kurushiana maneno na unafiki mwingi. Ngoja tukisikilize chuma cha reli kutoka Ubeligiji.
  13. kisana kiki

    Nichague kazi binafsi au TAKUKURU?

    Ushauri nilioamua kuufuata ni kujikita kwenye sekta binafsi na kufanya kazi.. Naona pamoja na ushauri mzuri wa kuingia Serikalini, moyo unaniambia tofauti kabisa. Ngoja tuishi huku tuone maisha yanasema nini.
  14. kisana kiki

    Nichague kazi binafsi au TAKUKURU?

    Kumbuka interview za TAKUKURU zinafanyika Dodoma Mkuu. Kwahiyo kuna kusafiri na kujiandaa vile vile. Mtu anaweza kuwa na uzoefu na haya mambo ya Serikalini na akakwambia mapema kabisa kuwa usiende au namna gani.
Back
Top Bottom