Recent content by Kisampido

  1. K

    Kwa Kamanda IGP na RPC Dodoma

    Wanatembeaga na bunduki mkuu
  2. K

    Kwa Kamanda IGP na RPC Dodoma

    Mkuu sikuwa na simu kubwa ila nilijitahidi kuandika namba za gari STM 5771 Land cruiser double cabin ya rangi ya kijivu Mpya dereva Mzee hivi amevaa miwani pia polisi walikuwa wababe walikuwa wanamshambulia jamaa uku wamemfunga pingu yaani kama jambazi mateke vichwa ngumi ni hatari
  3. K

    Kwa Kamanda IGP na RPC Dodoma

    Nianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale Maaskari walikuwa wakifanya vile kwa matakwa Yao binafsi. Ilikuwa majira ya saa Saba mchana Askari...
  4. K

    DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Upumbavu tu mambo ya kizamani Sana haya unyanyase wenzio makazini huko kisa bwanaako ana cheo?
  5. K

    Mtaka ndiye unayefuata

    Sahihi kabisa!!
  6. K

    CCM inatosha kuendelea kuliongoza Taifa letu

    CCM ina wenyewe boya wewe weka mpaka umri wako hapo utabaki na jembe lako la mkono.
  7. K

    Vijana Watafuta Kadi za Uanachama wa CCM Kama Dhahabu

    Ipo ya magufuri(sukuma gang)ipo ya ma borntown sijui wewe unaishobokea ipi Sasa.
  8. K

    Kazaa na Mwingine Mtoto kanipa Mimi! Je nimkubali au nikatae?

    Mkuu huyo mtoto katoka kwenye kiuno Cha mwanaume mwenzio uwe na aibu.
  9. K

    Vijana Watafuta Kadi za Uanachama wa CCM Kama Dhahabu

    CCM ipi Sasa ya magufuri au hii ya Sasa?
  10. K

    Kifo cha Magufuli kilileta udumavu mkubwa wa kifikra ambao ni hatari kwa Taifa. Watanzania tubadilike

    Hayakuwa magumu kwako biashara nyingi zilikufa awamu ya 5 labda wakati huo ulikuwa Burundi wewe,unajifanya mjuaji wakati 0 tu,kwa upande wa kaskazini mwa Tanzania mipaka ya kibiashara ilifungwa hivyo kupelekea mazao mengi kukosa soko ref kuchomwa Vifaranga wajinga kama nyie dawa yenu kuzikwa...
  11. K

    Mbunge Miraji Mtaturu amponda Tundu Lissu, asema hata Mbowe alimshtukia Baada ya kupokelewa na WATU kiduchu. Adai amerudi alikotoka kimya kimya!

    Kwa hiyo ulitaka hata asiende kwao kweli wachawi hawataisha hii nchi,yaani ni mbunge wa mchongo lakini pia fuvu lake anafugia kamasi tu!
  12. K

    Kifo cha Magufuli kilileta udumavu mkubwa wa kifikra ambao ni hatari kwa Taifa. Watanzania tubadilike

    Hayo unayoyoyaita maisha magumu awamu ya sita ni matokeo ya awamu ya 5 kuanzisha mamiladi makubwa na ya gharama kubwa alafu mengi tukope tu kupunguza makali hakuna namba mama pambana hivyohivyo yote haya kayaanzisha baba yao mwendakuzimu.
  13. K

    Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Hayo mapungufu ya bosi wako ni adhabu kwa watumishi wengine sema ukweli tu unafaidika na asali yake
  14. K

    Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Huyo mjinga anaweza kuwa yeye au mpambe wake kuna wapambe wake anapiga nao dili za kupiga pesa
  15. K

    Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Ni kweli alihamishiwa chemba 2021 akapiga madili akabaki mpaka leo ofisini kwani alituaga kabisa na Mimi nilisepa mwaka huo nafikiri yule bwana ake meya wa DODOMA mjini anamkono wake na kwa tetesi ule uhamisho ilikuwa wa adhabu
Back
Top Bottom