Wale waliomwomba BWANA aliwaambia: NYAMAZENI KIMYA. MIMI NITAWAPIGANIA. Kwa muda mrefu, wanyonge wa nchi hii wamekuwa wakimlilia BWANA awaokoe na mateso, kuonewa, kunyanyaswa na walio madarakani. BWANA amesikia kilio chao. Ole wao wale wote wanaotenda maovu, wakiwa ni viongozi wanaoongoza watu...