Recent content by kisambi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndasa wa CCM ataka wabunge waitwe watukufu

    Alichosema Ndassa;' hili ni Bunge Tukufu, hakusema wabunge waitwe Watukufu ......tukiendelea na ugomvi huu halitokuwa lBunge tukufu tena ila litakuwa Bunge la wagomvi. na kwa maantiki hiyo tutakuwa hatuwatendei haki waiotuchagua' nanukuu alichosema na kama unabisha kasome HANSARD
  2. K

    JamiiForums Tanzania kwa wale wenzangu wanaotumia 'AirTel' Tusaidiane hili:

    piga104 fuata maelekezo
  3. K

    JamiiForums Tanzania TAARIFA ya kuvuliwa uanachama CHADEMA kwa Juliana Shonza(M/Kiti), Mtela Mwampamba na Habibu Mchange

    Chadema jifunzeni kuvumiliana, kwani hakuna mtu aliekamilika, jirekebisheni sasa kwenu nani mzuri kila mtu mnataka kumfukuza mpaka katibu mkuu wenu mkishika nchi simtaanza kufukuza raia waondoke Nchini? Du yangu macho
  4. K

    JamiiForums Tanzania Henry Matata: Dr. Slaa mwongo no. 1 duniani

    Duu je nani aliiba sadaka kanisani?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Matata kuvuliwa umeya ni pigo kubwa sana kwa CCM katika kipindi cha pili cha JK -Pt I

    Hukumu imetolewa wapi na nani na lini
  6. K

    JamiiForums Tanzania Henry Matata ashindwa kesi ya kuvuliwa uanachama CHADEMA

    Hajashindwa kesi alikua na kesi mbili zinazofanana kafuta yeye mwenyewe moja kwenye primary courty ya high court bado ipoi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Matata kuvuliwa umeya ni pigo kubwa sana kwa CCM katika kipindi cha pili cha JK -Pt I

    Hii Thead mekaa kama ya TYSON yaani haina ukweli hata kidogo MAtata bado yupo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa akiwa Rais...

    Now you are talking Lowassa Oyeeeeeeeeeee
Back
Top Bottom