Heshima kwenu GTs,
nahitaji mchango wa mawazo yenu hasa kwa wazoefu wa biashara na ujasiliamali.
ninayo tsh 20,000,000. sitaki kuajiliwa kwa sababu nimeshaajiliwa for 5 years toka nlipomaliza chuo in 2008, sasa
nimeona ni wakati muafaka wa kufanya mambo yangu mwenyewe kwa huu mtaji ambao...