Recent content by Kirokolo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

    Kweli kampuni inakufa kifo kibaya sana. Inakufa kibudu kabisa. Ilianza vizuri sana, wakabweteka. Wana wafanyakazi jeuri, sidhani kama mwenye gari hizo ni jeuri kama walivyo hao vibarua wake. Kwaheri Dar Luxy, lala salama kuzimu. Painful truth
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa "MY LIFE, MY PURPOSE"

    Britanicca una akili kupindukia. Wengi watapata tabu sana kukuelewa. Na wachache watakaokuelewa watanyamaza kimyaaaaaa, wakiangalia usikute kuna mtu amewaona.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, sasa ni zamu ya watumishi wako

    Mwenyezi Mungu ampe uponyaji wa haraka na arudi mwenye siha njema kuendelea kututumikia sisi wananchi wake. Tunaendelea kumwombea.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Pundamilia mwingine mwenye rangi tofauti aonekana hifadhi ya Serengeti

    Huyo siyo rangi tofauti bali ana ugonjwa wa ngozi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Babe, I am afraid this was never meant to be...

    What a powerful word? Such an open heart, frank and honest. I share the grief with you SweetieLee. Be strong, it doesnt matter what it take, it will never mark the 3nd of the world for you. Hold on........
  6. K

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: Tunapata wapi msuli wa kudai demokrasia ndani ya nchi wakati tunaonyesha mkakati wa kuizuia ndani ya chama?

    Niemkuwa nikisema siku zote kuwa viongozi wengi wa upinzani ni waganga na wachumia tumbo. Na wengi walikimbikia upinzani baada ya kunyimwa nafasi za ulaji huko walikokuwa. Mhe. Selesini unasema matusi yapelekwe CCM, kwanini? Nchii inahitaji siasa za kukosoana kistaarabu siyo kwa matusi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna umoja wala mshikamano. Unafiki umetujaa vifo vya marubani chipukizi Serengeti vinaakisi

    Ustaarabu hupimwa kwa vitu vidogo sana, kimojawapo ni hiki. Unafiki, uzandiki, uzwazwa na kujipendekeza. Ni ajabu na kweli, hakuna anayezungumzia suala la rubani mwingine aliyefariki, ajali yenyewe na chanzao chake, hatua gani zichukuliwe kuepusha majanga kama hayo na kadhalika. Hakuna hakuna...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco wamekata umeme kwa hiyo hatutasikiliza hotuba ya JPM live

    Ni kufungua Teminal III, ujenzi umeshakamilika
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco wamekata umeme kwa hiyo hatutasikiliza hotuba ya JPM live

    Ufunguzi wa Terminal III JNIA
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco wamekata umeme kwa hiyo hatutasikiliza hotuba ya JPM live

    Huku kwetu Iringa na Njombe walikuwa wamekatanlwkini wamerudisha muda huu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dah Jamaa ana clip zote za Mazungumzo, Yaan anachagua amsikilize nani aache nani kama Tamthiliya

    Britanicca wewe ni bright sana naelewa japo sikujui. Tuchukulie mfano wa mchimba almasi, ni mawe aina ngapi anakutana nazo lkn hazina tija kwake? Lengo ni kupata almasi, mawe mengine yote hana haja nayo na yatabaki yalivyo. Na suala la privacy kwa uelewa wako niujuao linatoka wapi katika suala...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video clip yao yavuja

    Barafumoto umeamua kuwa barafutope. Magufuli wa Njombe halinganishiki na Magufuli wa ukweli kwa sauti hata kidogo. Nilimwona kuwa kihoja na kituko tu. Na Mhe. Rais alimheshimu tu kwa sababu alishaandaliwa kuongea. Usilinganishe giza na mchana.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video clip yao yavuja

    Sasa nimepata kumfahamu vizuri Membe. Sikuwahi kujua kama ni mtu wa low level kiasi hiki. Na kumbe nia yao ni kumvuruga tu Mhe. Rais na kuvuruga Nchi. Kwa akili niliyoiona kwenye hiyo audio kama ni ya kweli, nimeogopa kabisa. Haya mambo yasivhukuliwe kwa wepesi hata kidogo.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kinana ana siri nzito kifuani ikiwa ni pamoja na idadi halisi ya kura alizopata Magufuli 2015

    Wao ndio watakuwa salama? Kama ni kweli hayo, Wao wenyewe ndio waliofanya na dhambi ni yao wenyewe. Wataponea wapi? Wala situmie hicho kama kivuli. Haitasaidia chochote. Uungwana ni kukubali kosa na kuomba msamaha maisha yanaendelea. Hii kuishi kiujanja ujanja haitasaidia hata siku moja
  15. K

    JamiiForums Tanzania Khaaa! Kumbe bongo kuna wanaume ni wazuri aisee

    Inaoneka kibovu kichwa nawe ni wa kundi hilo unajitangaza. Nenda taratibu tafadhali.
Back
Top Bottom