Recent content by kirisha

  1. kirisha

    JamiiForums Tanzania Bank tellers ni wezi wa kimya kimya, kuweni makini

    Mwanangu Mimi ndio siwezi kwasababu kwa siku natoa mara tatu au mbili na natoa millioni 20 nitaweza kukaaa na kuesabu kweli
  2. kirisha

    JamiiForums Tanzania Hatimaye baada ya mangaiko ya muda nauona mwanga

    Kweli kabisa
  3. kirisha

    JamiiForums Tanzania Hatimaye baada ya mangaiko ya muda nauona mwanga

    Asante sana kwa ushauri wako
  4. kirisha

    JamiiForums Tanzania Hatimaye baada ya mangaiko ya muda nauona mwanga

    Sijui hizi ngoja nitafute nione hiyo fursa
  5. kirisha

    JamiiForums Tanzania Hatimaye baada ya mangaiko ya muda nauona mwanga

    Asante sana
  6. kirisha

    JamiiForums Tanzania Hatimaye baada ya mangaiko ya muda nauona mwanga

    Nimeoa na mke na watoto wawili ila kwa sasa mke wangu yupo mbali na mimi
  7. kirisha

    JamiiForums Tanzania Hatimaye baada ya mangaiko ya muda nauona mwanga

    Pombe situmii kabisa
  8. kirisha

    JamiiForums Tanzania Hatimaye baada ya mangaiko ya muda nauona mwanga

    Hapana
  9. kirisha

    JamiiForums Tanzania Hatimaye baada ya mangaiko ya muda nauona mwanga

    Sawa boss
  10. kirisha

    JamiiForums Tanzania Hatimaye baada ya mangaiko ya muda nauona mwanga

    Napenda Kumshukuru Mungu naye muamini kwa kunipa zawadi ya uhai na afya tele Mimi ni ndugu yenu hapa jukwaani Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikipambana kutafuta mwanga na kutimiza ndoto zangu Mapema mwaka huu kwenye mwezi wa tatu ndio nilipoona mwanga baada ya kupata biashara ambayo kwa siku...
  11. kirisha

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara badala yake inainufaisha Arusha

    Mara akuna hotel za maana za kufikia watali hizo hotel walipaswa wajenge watu binafsi na siyo serikali Arusha wazaliwa wa kanda hiyo wamejenga mahotel ya kifahari mara kutonufaika na mbuga sababu ni Wana mara wenyewe na Arusha kunufaika sababu ni wanaarusha kuona fursa
  12. kirisha

    JamiiForums Tanzania Akufaaye kwa dhiki ndio rafiki. Marekani Imewekeza Trilioni 11, Urusi Imewekeza nini Tanzania?

    Kweli Mimi nikiwa sekondari vitabu vya chemistry biology nyuma vilikuwa vimeandikwa kwa msaada wa watu wa marekani na tulikuwa tunapewa bure
  13. kirisha

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote itakayoweza kuniingizia kipato

    Mkuu paka leo ujapata
  14. kirisha

    JamiiForums Tanzania Madeni bado shida kubwa kwangu

    Sijaelewa
  15. kirisha

    JamiiForums Tanzania Madeni bado shida kubwa kwangu

    Yani akili imeganda kabisa
Back
Top Bottom