anafundisha chuo cha wa Nigeria.kama Mhadhiri awe Reading university,Durham,Abeerden,York,Queen Mary.LSE jamani anafundisha chuo cha uchohoroni hakuna Mzungu hata mmoja.
chris ungesoma hata masomo ya jioni kuongeza maarifa ufahamu wako uko chini sana.
wahuni wa london.
Huyu picha ya juu kushoto Uk nzima inamjua ni mtu asiye na adabu kwa jamii matendo yake kila mtu anamkimbia.kama ndio mnataka kuwapeleka Tanznaia watu kama hawa ni watalaam nchi imeumia. makanisa yote yanapiga vita jambo hilo kuwa legal.
chris kweli ni mtambo analeta watu wa...
Wamekimbia hata kujibu hoja zako. Aseri Katanga ni bogus jana kadhirisha hamna kitu.anatoa picha za JK eti wananchi tizameni nilipiga picha na rais kikwete ameona dili kubwa.angekuwa mtu makini angesema kuwa hivi ni vyeti vyangu.hana shule anapiga care na maboksi kama lusingu PhD yenye mashaka.
Chris Lukosi.
haifai kuwa muongo umewadanga watu kuwa kuna mwana NEC utakuwa nae hapa reading atajiunga chadema. wakati ukijua unadanganya.
umedanganya tena kuwa Lema atakuwa mkutano wa Reading hakuwepo.
ama kweli wewe ni mtu wa dili.kila jambo unakuja na uongo.unavunja cridibility ya chama...
Wanajua ni watu gani wana dili na issue za unga ila wanababaisha.sio kama hawaelewi somo.Mbowe ni mtu makini soon atajua ni watu wa hovyo kiasi gani wamekabidhiwa chama kutokana na Lema kukosa Umakini.
Lusingu anakunwa maji ana kiu sana masikini.ni kiu ya kukata tamaa. naona mdogo wake katoa macho ile mbaya.pamoja na kuwalazimisha ndugu na jamaa na kujitia kuwa ni mkutano wa wasomi wamekosa kupata watu wametoa kundi la wauza unga toka london kuja kujaza mkutano.
Serikali au ubalozi hauwezi...
kIHELEHELE CHA KINA LUSINGU NA LUKOSI WOTE CHINI.WAMEFELI WAMEPATA WATU 20.KAJIPANGENI TENA.HADANGANYWI MTU.POLE CHRIS LUKOSI.WANAONA HAYA HATA KUWEKA PICHA ZAO.
LUSINGU KABEBEE MABOKSI SIASA HUWEZI.
Wababaishaji wa Chadema hapa Uk wamekuja na wizi mpya kuwachangisha wanachama wao kulipia mfuko wa Mazishi waliuanzisha hapa.kikosi cha matapeli hao ambao wenyewe wamajibatiza jina la wasomi. wakati hawana mawazo mapya.shirika la pensheni la PPF limezindua huduma ya kusafirisha maiti na...
DR.lusingo amewaambia waumini wake wa kisabato kwenda kwenye mkutano ni baada ya kuona mkutano wa london hawakupata watu.
asiyekwenda kwenye mkutano anasuswa na kanisa lake.
Mfuko wa mazishi kama wachangiaji walivyooponda ni kuwa hauna maana kwani tayari PPF Mfuko wa pensheni-Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.