Recent content by Kipwinto fukufuku

  1. K

    Mtanzania aliyeko kwenye jeshi la Marekani

    Wapo wengi brazaaa..... Ni kukana uraia tuu.....
  2. K

    Kuhusu 'scholarship' za jumuiya ya Madola

    Siku nyingine soma kila kitu before huja make hard decissions
  3. K

    Kuhusu 'scholarship' za jumuiya ya Madola

    Umesema uliona una sifa zote, hicho kipengele cha admission letter hukukiona? Uzuri wa wazungu wanajibu fasta, sasa omba haraka waku admit haraka
  4. K

    Another loss making Kenyan company part II

    We dnt invest kwa pupa.... We seek for long lasting opportunities....
  5. K

    Another loss making Kenyan company part II

    Awwww..... Nakumatt is dying.... You better close it in Tz also before hatujakamua kodi nyingi.... Thank for ur service and contributions.....
  6. K

    Naanza rasmi kumsapoti Magufuli, Lowassa angetupoteza

    Toa facts, toa sababu ya hoja yako....
  7. K

    Hivi kati ya UDSM na Mzumbe kipi chuo bora kwenye fani ya biashara

    Kwenye interview hatufanyi mapepa, can you link maswali ya hilo pepa na real life issues? If not rudi darasani ujipange
  8. K

    Hivi kati ya UDSM na Mzumbe kipi chuo bora kwenye fani ya biashara

    Whether its honor or not we value productivity of youe skills. Unaweza ukatoka udsm ukawa more useless than St. Marks college
  9. K

    Hivi kati ya UDSM na Mzumbe kipi chuo bora kwenye fani ya biashara

    Unajidhalilisha... Hizo ni taasisi za serikali.... Zinaajiri bila kubagua....
  10. K

    Waafrica tuna laana si bure

    Asante nmekupata mkuu... Ila ungedadavua hayo maeneo kwa faida ya wote
  11. K

    Hivi kati ya UDSM na Mzumbe kipi chuo bora kwenye fani ya biashara

    Tatzo lako ni nini? Kote wanatoa elimu bora kwa sababu topic ni zile zile na vitabu ni vile vile.... By the way ukiingia chuo, always mwalimu anakupa 25% na ww unatakiwa kujazia hiyo 75%. Ubora utakuwa kwako kujaza hiyo 75%
  12. K

    Bomoa bomoa yafanyika Mbezi, wananchi walalamika kutopewa taarifa

    Moja kati ya mambo ya kuzingatia katika kujenga ni kuomba kibali cha kujenga na kuangalia ramani za mipango miji maana unaweza kujenga wakakuambia ramani inaonyesha umejenga ndani ya eneo la shule au hospital..... Je aliyejenga alivizingatia hivi? Pale mbez nakumbuka vizuri walipewa notice ya...
  13. K

    Waafrica tuna laana si bure

    Kuna sheria inakataza kilimo cha umwagiliaji mkuu? Naomba nijuze....
  14. K

    Ni wenye maono ya karibu tu ndio hawajui anapotupeleka Mh. Rais

    Mbona povuuu..... Nijibu maswali yangu wewe kama mchumi kweli...... Umebaka fani za watu
Back
Top Bottom