Recent content by kipuri01

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Salute Pdidy
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto ya kuonana na Raisi yoyote wa nchi nitafanikiwaje?

    Kwa huyu mama kukusaidia sio rahisi ila kama unataka nikukutanishe na mwendazake ni simpo sana, njoo pm tuyajenge
  3. K

    JamiiForums Tanzania Muuza Madafu: Mimi siyo Mwanajeshi. Natamani kuonana na Kamanda ninayefananishwa naye

    Wabongo kwa kuendekeza porojo, mwanzo mlidai ni TISS, sasa amekuwa JWTZ? Hivi mnadhani wale jamaa ni wajinga kiasi gani, yaani wamfichue mmoja wao kama muuza madafu afu baadae wamuuzishe sura kwa kiwango hicho?
  4. K

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    Hata Simba walicheza hapohapo, so tuliaa!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    su Mkoa wilaya ya Kasulu ndo nini?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    NMB tawi gani? Mbona unafichaficha taarifa?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ona hili jingaaa!!!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ona hili jingaa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa watu sijui kwanini hawataki kukubali hili sio jukwaa la upigaji
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Acha mambo yako, weka hiyo mikeka hapa hapa, acha kutupotezea mda
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni maamuzi magum sana kuibetia Staz
  12. K

    JamiiForums Tanzania Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Hii umejibu kitaalam sana!!! Weka namba yako nitoe sadaka
  13. K

    JamiiForums Tanzania Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Nadhani Bashiru ndo alisema hivyo!!!
Back
Top Bottom