Recent content by Kippy

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuupata wimbo huu ?

    Sina hakika sana ila nafikiri band ni African Revolution na wimbo unaitwa Paulina.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    Huo ni mkopo unatakiwa ulipe ukienda kinunua mara ya kwanza.
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCTV Cameras Mpaka Ndani Ya Darasa Ni Sawa?

    Mimi nafundisha shule moja hapa Dsm ni kweli hizo camera zipo kila darasa ila si hiyo inayotangazwa redioni. Ni kweli inatunyima uhuru
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

    Wanatupa shida sana watoto kama hao darasani maana kwa umri huo anatakiwa awe darasa la kwanza.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Mugabe aeleza kuhusu ubaguzi wa rangi

    Mugabe kiboko
  6. K

    JamiiForums Tanzania john kitime tena>

    Nimeipenda hio
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ziwa Mwananyamala Dar es salaam

    Hata mimi najua lile ni bwawa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusiana na kifo nitakujibu!

    Du! Nimecheka sana
Back
Top Bottom