Hata kijijini kwetu katika mkoa wa Iringa watu wanauziwa vocha kubwa vocha ya sh 500 wanauziwa sh 600 na vocha za sh 1000 wanauziwa sh 1200.
Nesikia taarifa kuwa na mwanza hii tabia imeanza kwa baadhi ya wafanya biashara
Viongozi wa Sasa hivi siyo viongozi kwa sababu wameacha kufanya kazi yao halisi ya uongozi wameingia kujipendekeza,
Viongozi wengi wanaangalia matumbo Yao siyo kazi inayo paswa wafanye,
Sasa na huku wilaya ya ilemela mbunge hajawahi kuonekana na lenyewe ni tatizo la mpina.?
Mfumo wao kama ccm ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.